Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akitoa maelekezo wakati wa zi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akitoa maelekezo wakati wa ziara yake ya kikazi aliyoifanya katika Mkoa wa Pwani kwa lengo la kuangalia namna zoezi la uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma lilivyofanyika.
Baadhi ya watendaji wa Sekretarieti ya Mkoa wa Pwani wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) alipofanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Pwani kwa lengo la kuangalia namna zoezi la uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma lilivyofanyika.



COMMENTS