Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Lambert Chialo akizungumza na vyombo vya ...
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Lambert Chialo akizungumza na vyombo vya habari kuhusu uzingatiaji wa Maadili kwa Watumishi wa Umma katika utendaji kazi, wakati wa kikao na Waandishi wa Habari kilichofanyika jana katika ukumbi wa Idara ya Habari-Maelezo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais-Utumishi, Mary Mwakapenda.
Waandishi wa Habari wakichukua matukio wakati Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Lambert Chialo alipokuwa akizungumza na Waandishi hao kuhusu uzingatiaji wa Maadili kwa Watumishi wa Umma katika utendaji kazi wakati wa kikao kilichofanyika leo katika ukumbi wa Idara ya Habari-Maelezo jijini Dar es Salaam.
|

COMMENTS