VIJANA DAR ES SALAAM WAANZA MASOMO YA TEHAMA

Sehemu  ya  Darasa  la  Vijana  wa  Shule za  Msingi kutoka  sehemu  mbalimbali.

HomeJamii

VIJANA DAR ES SALAAM WAANZA MASOMO YA TEHAMA

Sehemu  ya  Darasa  la  Vijana  wa  Shule za  Msingi kutoka  sehemu  mbalimbali. Sehemu  ya  Darasa  la  Vijana  wa  Shule z...

MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA RC MSTAAFU ABBAS KANDORO
MAKAMU WA RAIS AZINDUA SIKU YA MWANAMKE WA MFANO TANZANIA
MAKALA: WIZARA YA MALIASILI NA UTALII INAVYOIMARISHA SEKTA YA UHIFADHI NA UTALII NCHINI



Sehemu  ya  Darasa  la  Vijana  wa  Shule za  Msingi kutoka  sehemu  mbalimbali.



Sehemu  ya  Darasa  la  Vijana  wa  Shule za  Msingi kutoka  sehemu  mbalimbali.




Meneja  Mradi  wa Aitel  & DTBI Computer Lab, Agape  Jengela  akizungumzia  kuhusu  mradi  huo  wa  Airtel  Fursa ambao  umenza  na  Darasa  la Vijana  wa Shule  za  Msingi  kutoka  sehemu  mbalimbali  za  jiji  la  Dar  es  Salaam, katika  fursa  hiyo  Watoto wamejifunza  kutengeneza  ROBBOT.

Kampuni yasimu za mkononi ya Airtel kwa kushirikiana na Atamizi ya Teknohama ya Dar es Salaam (DTBi)  imeanza kutoa mafunzo ya Tehama kesho katika maabara ya kompyuta iliyopo katika shule ya msingi kijitonyama na kuwawezesha vijana zaidi ya 20 waliojiandikisha kuanza kupata mafunzo hayo

Mafunzo hayo yameanza kufatia Airtel na DTBi kutangaza kuanza kwa mafunzo hayo na kuwaalika vijana kuanzia ngazi ya shule za msingi,sekondari, vyuo vikuu na wafanya biashara kujiandikisha na kufaidika na mafunzo haya yatakayowasaidia kuvumbua application mbalimbali, kuwapatia vijana ujuzi katika mswala ya Tehama na pia kuwawezesha vijana wajasiriamali kuendesha shughuli zao za kibiashara kwa kutumia technologia za kisasa

Akiongea kuhusu kuanza kwa mafunzo hayo, Meneja Mradi wa Airtel Bi Jane Matinde alisema, Tumefurahishwa sana na muitikio mkubwa uliofanya na vijana hususani wa shule hii ya msingi ya kijitonyama na watoto kutoka maeneo mengine katika kujiandikisha na kuanza mafunzo haya. Tayari tunao jumla ya wanafunzi 20 ambapo wamejipanga kuanza kujifunza kesho kuanzia saa 9 mchana hadi saa 11 jioni.  Tunaamini hii ni fursa muhimu sana kwa vijana wetu wenye kuonyesha  dhamira yao ya kubobea katika maswala ya Tehama na komputa ya sayansi kuanza sasa wakiwa katika umri mdogo.

Bado tunapokea maombi ya kujiunga hivyo tunatoa wito kwa vijana wa sekondari , wale waliomaliza darasa la saba , wafanyabiashara kutumia vyema maabara hii yenye lengo la kuwezesha jamii  hususani vijana kuongeza ujuzi na ueledi kwenye maswala ya technologia na Tehama kwa ujumla.

Kwa upande wake Meneja wa maabara ya Airtel Fursa , Agape Jengela alisema “ Tayari tumejipanga kutoa mafunzo kwa vijana, walimu wamejipanga vyema katika kuhaikisha vijana hawa wanapata mafunzo bora. Mafunzo hayo ni pamoja na lego Robotics, program za uhuishaji kwa watoto(ziitwazo scratch) na ubunifu na uchapishaji wa“3D objects”  msingi wa kompyuta, uelewa wa kompyuta, kutengeneza program mbali mbali

Bado tunapokea maombi,   Tunato wito kwa wazazi na walezi kuwaandikisha vijana wao kwa kupitia  www.teknohama.or.tz na  www.airtelfursa.com  au kwa kutembelea maabara  iliyopo katika shule ya msingi kijitonyama

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: VIJANA DAR ES SALAAM WAANZA MASOMO YA TEHAMA
VIJANA DAR ES SALAAM WAANZA MASOMO YA TEHAMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgAI30hrwZFg1yM_B0wfv0ZW5X5zXYG9OEEnxaa6WCs3S-DGsVhG1yxUAY9EUFJR4gaF8tXcuAsROX9t3ykhsgJ4Z-SXzIhKyRgpZOPaPlgldzY02ml9ZgtCTOx7EEBkHKet7vLDXpI05c/s640/IMG_9138.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgAI30hrwZFg1yM_B0wfv0ZW5X5zXYG9OEEnxaa6WCs3S-DGsVhG1yxUAY9EUFJR4gaF8tXcuAsROX9t3ykhsgJ4Z-SXzIhKyRgpZOPaPlgldzY02ml9ZgtCTOx7EEBkHKet7vLDXpI05c/s72-c/IMG_9138.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/vijana-dar-es-salaam-waanza-masomo-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/vijana-dar-es-salaam-waanza-masomo-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy