Mkurugenzi wa Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Frederick Ntobi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Warsha juu ya ma...
Wajumbe wa Kamati ya Maudhui ya TCRA wakihudhuria warsha hiyo
Sehemu ya wamiliki wa mitandao mbalimbali wakihudhuria warsha hiyo ya siku moja.
Mwenyekiti wa TBN, Joachim Mushi (kulia) akiwa meza kuu. Anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba, Mwenyekiti wa Kamti ya Maudhui ya TCRA, Bibi Msoka na James Kilimba ambaye ni Mkurugebnzi wa Bodi ya TCRA.
Mablogga wakiwa makinini kusikiliza wakati wa warsha hiyo. Kutoka kushoto ni Kranz Mwantebele, Adam Mzee na Dotto Mwaibale
COMMENTS