SPIKA JOB NDUGAI AUDHURIA MAZISHI YA ALIYEKUWA NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA WILAYANI MPWAPWA MKOANI DODOMA Spika wa Bunge, Mhesh...
SPIKA JOB NDUGAI AUDHURIA MAZISHI YA ALIYEKUWA NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA WILAYANI MPWAPWA MKOANI DODOMA
 |
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiwasili katika Msiba wa familia ya aliyekuwa Mbunge wa Mpwapwa Mjini na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Gregory George Teu uliotokea tarehe 18 Septemba, 2017 nchini Uganda, ambapo mazishi yatafanyika mapema leo Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE) |
 |
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimfariji aliyekuwa Mbunge wa Mpwapwa Mjini na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Gregory George Teu (kushoto) kwa Msiba wa familia yake uliotokea tarehe 18 Septemba, 2017 nchini Uganda, kabla ya kuanza kwa mazishi yatakayofanyika leo Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma.
|
 |
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akiongoza viongozi Mbali mbali wa serikali katika misa ya kuaga miili ya familia ya aliekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Ndg. Gregory George Teu, uliofanyika leo katika kanisa la Anglikana Tanzania (Dayosisi ya Mpwapwa) iliyopo Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma. |
 |
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiweka shada ya maua katika mazishi ya familia ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Ndg. Gregory George Teu, yaliyofanyika leo katika makaburi ya kanisa la Anglikana Tanzania (Dayosisi ya Mpwapwa) iliyopo Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
|
COMMENTS