RISE CHARITY: CHANGIA VIFAA WEZESHI VYA ELIMU KUKUZA TAALUMA NCHINI

Rise Media Group inaendesha kampeni ya Rise Charity yenye lengo la kuwasaidia watoto mbalimbali wa shule zilizo katika mazingira ma...




Rise Media Group inaendesha kampeni ya Rise
Charity
yenye lengo la kuwasaidia watoto mbalimbali wa shule zilizo katika
mazingira magumu hususani shule za vijijini
vifaa wezeshi katika masomo kama vile Madaftari, Kalamu za wino , Kalamu
za risasi, Vitabu nk.

Akizungumzia
kampeni hiyo Afisa Habari wa Rise Media Bakari Ngamba amesema kuwa kampeni hiyo
imebebwa na kauli mbiu isemayo mtoto kwanza Elimu ni msingi.

“kampeni
hii inamakusudio makuu mawili, moja ikiwa ni kuwasaidia watoto wa shule za
Msingi waishio vijijini vifaa mbalimbali vya kujifunzia ,Pili ni kuhamasisha
watoto kupenda shule na kuwafundisha baadhi ya masomo ya jamii ili waweze kutimiza
ndoto zao, Kampeni hii inatarajiwa kuzunguka mikoa mbalimbali Tanzania ”  alisema Ngamba.

Aidha
Ngamba amewakaribisha wadau Mbalimbali  wa elimu nchini na nje ya nchi kuungana na
Rise Media kwa kuchangia kampeni hii ili kuendeleza elimu nchini pamoja na
kudumisha elimu kwa wanafunzi katika kuendeleza na kujenga  Tanzania ya viwanda kwa kumfunza Mtoto kuwa
na uzalendo wa kujenga nchi yake kwa kusaidia wengine pindi atakavyo kuwa
mkubwa kwani hii ni moja ya kumbu kumbu katika maisha yake.

Vile
vile Rise charity ina dhumuni la kuhamasisha mahusiano mazuri baina ya wazazi na
wanafunzi pamoja na wadau mbalimbali katika kuhakikisha kuwa mtoto anapata
mahitaji muhimu ya kitaaluma kwa wakati uliokusudiwa.

Akieleza
Namna unavyoweza kushiriki katika kuchangia kampeni hiyo  ni kwa kuwasiliana na Mwenyekiti  wa kampeni Ndugu Elia Joseph kwa namba 0716
23 69 12  na Atley Timothy 0719 92 15 64






COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RISE CHARITY: CHANGIA VIFAA WEZESHI VYA ELIMU KUKUZA TAALUMA NCHINI
RISE CHARITY: CHANGIA VIFAA WEZESHI VYA ELIMU KUKUZA TAALUMA NCHINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPx2BhKnxwrD2FnyT262lS7Yf5zRVV4U1yoQDQlZTBvpNTXSjIHHfGaTe-D8xTUM9ghSnFkDlZaVODCwYeE0sib9vdKQYvqLPIWfGRSYGkso0qQJS6Zg3Q1HuSJ-S8gVBVL30Ja8DwhuPz/s320/charity+logo-png.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPx2BhKnxwrD2FnyT262lS7Yf5zRVV4U1yoQDQlZTBvpNTXSjIHHfGaTe-D8xTUM9ghSnFkDlZaVODCwYeE0sib9vdKQYvqLPIWfGRSYGkso0qQJS6Zg3Q1HuSJ-S8gVBVL30Ja8DwhuPz/s72-c/charity+logo-png.png
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/rise-charity-changia-vifaa-wezeshi-vya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/rise-charity-changia-vifaa-wezeshi-vya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy