RAIS MAGUFULI KUPOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MADINI YA TANZANITE NA ALMASI KESHO IKULU DAR

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Simu: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz ...


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULUDescription: Description: Description: Description: Description: Coat of Arms
Simu: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz               

Faksi: 255-22-2113425


OFISI YA RAIS,
     IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,   
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA UMMA
Ikulu, Dar es Salaam.
Kesho tarehe 07 Septemba, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atapokea taarifa ya uchunguzi wa madini ya Tanzanite na Almasi uliofanywa na kamati maalum mbili zilizoundwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai.
Taarifa hiyo itakabidhiwa kwa Rais Magufuli na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Hafla ya kukabidhiwa kwa taarifa hiyo itarushwa moja kwa moja na vituo vya redio na televisheni kuanzia saa 4:00 Asubuhi.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia matangazo hayo kupitia vyombo vya habari na tovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz


Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
06 Septemba, 2017

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MAGUFULI KUPOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MADINI YA TANZANITE NA ALMASI KESHO IKULU DAR
RAIS MAGUFULI KUPOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MADINI YA TANZANITE NA ALMASI KESHO IKULU DAR
https://lh5.googleusercontent.com/beJEmaCFuHhfZQFt6vGrcffnRQJWHW7FTTfaArpYlY60w7VDJi0OXP2YozK8CLj_BCxNqxXNZIGoeAe7iLc_93VwpCqt0wNKT29rgcKsuR3USS7PVnouPWOO3FkD_ri1bHhZa5lCLCv8PEfBNQ
https://lh5.googleusercontent.com/beJEmaCFuHhfZQFt6vGrcffnRQJWHW7FTTfaArpYlY60w7VDJi0OXP2YozK8CLj_BCxNqxXNZIGoeAe7iLc_93VwpCqt0wNKT29rgcKsuR3USS7PVnouPWOO3FkD_ri1bHhZa5lCLCv8PEfBNQ=s72-c
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/rais-magufuli-kupokea-taarifa-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/rais-magufuli-kupokea-taarifa-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy