NAIBU SPIKA TULIA ACKSON ZIARANI WILAYA YA RUNGWE, AZINDUA JENGO LA MALIWATO YA WANAWAKE HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE

 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akipanda mti na Mwa...


 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akipanda mti na Mwanafunzi wa darasa la tano wa Shule ya Msingi Segera, Jackson Lusajo, wakati alipotembelea shule hiyo kukabidhi Vifaa vya ukarabati wa shule hiyo akiwa katika ziara yake Wilaya ya Rungwe jana Sept 20, 2017. Jumla ya miti 160 ilipandwa katika shule hiyo ikiwa ni sehemu ya kutunza mazingira. Picha zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO MEDIA)
 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tukuyu, Ezekiel Manyemele, wakifunua kitambaa kuzindua Jengo la Choo cha wanawake katika Hospitali ya Makandana Wilayani Rungwe, jana Sept 20, 2017. Jengo hilo la Choo limegharimu zaidi ya Sh. milioni 50. 

 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akipanda mti na Mwanafunzi wa darasa la Sita wa Shule ya Msingi Segera, Tunza Fred, wakati alipotembelea shule hiyo kukabidhi Vifaa vya ukarabati wa shule hiyo akiwa katika ziara yake Wilaya ya Rungwe jana Sept 20, 2017. Jumla ya miti 160 ilipandwa katika shule hiyo ikiwa ni sehemu ya kutunza mazingira. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akiangalia tofali, wakati alipotembelea shule ya Msingi Segera kukabidhi Vifaa vya ukarabati wa shule hiyo akiwa katika ziara yake Wilaya ya Rungwe.
 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akimkabidhi tofali, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Segera, Fred Mfwea (wa pili kulia) na Diwani wa Kata ya Segera (katikati) wakati alipotembelea shuleni hapo kukabidhi Vifaa vya ukarabati wa shule hiyo akiwa katika ziara yake Wilaya ya Rungwe.
 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akicheza muziki 'Ndiyo Maana Tenzele' wa asili wa kabila la Wasafa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Unyamwange, Julius Pascal, wakati alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya akiangalisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Kituo cha afya Kata ya Isongole jana.
 Picha ya pamoja na wafanyakazi wa Hospitali ya Makandana
 Akikagua jengo hilo ndani
 Akizungumza na kina mama wa Rungwe
 Akisalimiana na mwanafunzi Tunza..
 Mwanafunzi akimwagilia mti baada ya kupanda
 Dkt. Tulia akitembelea kukagua madarasa ya shule ya Segera
 Mwalimu mkuu wa shule hiyo akizungumza
 Vijana wa Taasisi ya Tulia Trust
 Walimu na wanachi wa shule hiyi wakisikiliza hotuba ya Dkt. Tulia.
 Dkt. Tulia akizungumza
 Dkt. Tulia akipokea mchango wa pesa Sh. 300,000 kutoka kwa mkurugenzi wa Patrick Mission High School, Ndele Mwaselela, ambaye pia akitoa ahadi ya kuchangia bando 10 za mabati kwa shule hiyo.
 Akitoa zawadi ya hela kwa wanafunzi wa shule hiyo kwa ajili ya sukari
 Dkt. Tulia akikabidhi fedha hizo kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo
Dkt. Tulia akipokea zawadi ya kuku kutoka kwa mwalimu wa shule hiyo, Caroline Kilongo. Picha zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO MEDIA)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU SPIKA TULIA ACKSON ZIARANI WILAYA YA RUNGWE, AZINDUA JENGO LA MALIWATO YA WANAWAKE HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE
NAIBU SPIKA TULIA ACKSON ZIARANI WILAYA YA RUNGWE, AZINDUA JENGO LA MALIWATO YA WANAWAKE HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtZQMcTayMXdbE59Bvf1a9Tqil7296cZAFFvQQdISiqwp9w6ZjSQUhMNoWzOfw7b-hGxgoJ1rmXypj5oWUeKaA0Tfa8Jvu2Jr2hpHWUdFjW5SdJZNRFbwXk5ViLT37W2UZ78_mTXuu9KIW/s640/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtZQMcTayMXdbE59Bvf1a9Tqil7296cZAFFvQQdISiqwp9w6ZjSQUhMNoWzOfw7b-hGxgoJ1rmXypj5oWUeKaA0Tfa8Jvu2Jr2hpHWUdFjW5SdJZNRFbwXk5ViLT37W2UZ78_mTXuu9KIW/s72-c/3.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/naibu-spika-tulia-ackson-ziarani-wilaya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/naibu-spika-tulia-ackson-ziarani-wilaya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy