MATUKIO YA PICHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na ...





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya kikao chao jijini Dar es salaam leo September 27, 2017.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim ahmed Salim baada ya kupiga picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya kikao chao jijini Dar es Salaam leo September 27, 2017.



Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu Mhe. Naohodha baaya ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo September 27, 2017. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Visiwani) Dkt. Abdalla Juma Sadala ‘Mabodi’


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakiondoka ukumbini baada ya kikao chao jijini Dar es salaam leo September 27, 2017.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya kikao chao jijini Dar es salaam leo September 27, 2017 (Picha na IKULU)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MATUKIO YA PICHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO
MATUKIO YA PICHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/09/c1-1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/matukio-ya-picha-kikao-cha-kamati-kuu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/matukio-ya-picha-kikao-cha-kamati-kuu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy