Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na Meneja wa Shule ya Msingi ya Martini Luther ya Mjini Dodoma, Wendo Mmanga b...
 |
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na Meneja wa Shule ya Msingi ya Martini Luther ya Mjini Dodoma, Wendo Mmanga baada ya kuwasili shuleni hapo kuhudhuria katika Mahafali ya Kumi ya Shule hiyo, Septemba 2, 2017. Wapili kushoto ni Mkurugenizi wa Shule hiyo, Rabielly Mmanga |
 |
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimia katika Mahafali ya Kumi ya Shule ya Msingi ya Martin Luther ya Mjini Dodoma Septembe 2, 2017. |
 |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI- George Simbachawene (katikati) akiteteta na Mkurugenzi wa Shule ya Misingi ya Martin Luther ya Mjini Dodoma, Rabielly Mmanga (kulia) na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Gilbert Nhuguti katika Mahafali ya Kumi ya Shule hiyo Septemba 2, 2017. |
 |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -TAMISEMI, George Simbachawene akimkabidhi Cheti cha Mwanafunzi Bora wa masomo ya Sayansi, Mtoto wa Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim katika Mahafali ya Kumi ya Shule ya Msingi ya Martin Luther ya Mjini Dodoma Septembe 2, 2017. |
 |
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akimkabidhi Mwanae, Majaliwa Kassim maua katika Mahafali ya Kumi ya Shule ya Msingi ya Martin Luther ya Mjini Dodoma Septemba 2, 2017. Mtoto huyo aliibuka kuwa Mwanafunzi Bora wa masoma ya Sayansi na kupewa cheti. Kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Gilbert Nhuguti.
|
 |
Mtoto wa Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim (kulia) akivalishwa shada la maua na dada yake, Zhulekha Majaliwa baada ya kukabidhiwa Cheti cha kuhitimu darasa la Saba katika Mhafali ya Kumi ya Shule ya Msingi ya Martin Luther ya Mjini Dodoma Septemba 2, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (kushoto) na Mdogo wake, Magdalena Komba (wapili kulia ) wakifurahia baada ya Mtoto wa Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim kuibuka kuwa Mwanafunzi Bora katika masomo ya Sayansi na kukabidhiwa cheti na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- TAMISEMI, George Simbachawene (kulia) katika Mahafali ya kumi ya Shule ya Msingi ya Martin Luther ya Mjini Dodoma Septemba 2, 2017. |
COMMENTS