Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu(AfCHPR)Sukhdev Chatbar (kulia) akiwaongoza wageni kutoka Wiza...

Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa Mahakama ya Afrika na Haki za
Binadamu(AfCHPR)Sukhdev Chatbar (kulia) akiwaongoza wageni kutoka Wizara
ya ushirikiano wa maendeleo ya Ujerumani kupitia taasisi zake GIZ na
AGA waliotembelea mahakama hiyo wamekua ni wadau wakubwa katika kusaidia
miradi mbalimbali ya mahakama hiyo.

![]() |
Mkuu wa taasisi za GIZ na AGA, Hartmut Krebs akiangalia sehemu ya machapisho kwenye maktaba ya AfCHPR. |
![]() |
Msajili wa mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu (AfCHPR), Dk Robert Enno (kulia) akizungumza na ujumbe kutoka taasisi za Wizara ya maendeleo ya Ujerumani waliotembelea mahakama hiyo. |
COMMENTS