KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA WA KIFO CHA CASSIUS O. MDAMI
HomeJamii

KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA WA KIFO CHA CASSIUS O. MDAMI

Tangu umetuacha tumetafakari mengi tukidhani umesafiri utarudi lakini kumbe haikuwa hivyo. Kuwa kwako mbali na familia kumetufanya kujifunz...

VIDEO: DKT. NDUGULILE AWAONGOZA MADEREVA BODA BODA KULA KIAPO CHA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA MIMBA ZA UTOTONI MKOA WA KATAVI
RAIS MAGUFULI AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR, AREJEA DAR
LEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA MDAU MUGANYIZI BISHEKO




Tangu umetuacha tumetafakari mengi tukidhani umesafiri utarudi lakini kumbe haikuwa hivyo. Kuwa kwako mbali na familia kumetufanya kujifunza mengi kuhusu maisha na kutafakari muda ambao tulikuwa pamoja katika maisha ya hapa duniani wakati wa furaha na uchungu.


Unakumbukwa na mke wako Rose na watoto wako Martina, Grace, Gideon, Gonsalver na Gibson. Umetimiza mwaka sasa tangu umetuacha; pengo lako ni kubwa katika kila kona ya maisha na hata katika Tasnia ya Habari uliyoitumikia katika muda mwingi wa maisha yako kwa kutuonyesha kwa vitendo maana ya kuipenda na kuithamini kazi katika maisha.

Tumekosa simulizi za kusisimua za Utalii wa Ndani, ulichimba na kuchimbua mengi ambayo kama si kwa jitihada zako binafsi tusingeyajua kamwe… tumebaki na msemo wako maarufu “Falsafa ya Ufagio ni Unyenyekevu”. Faraja yetu ni Mungu aliye Baba wa Yatima na mume wa Wajane (Kutoka 22:22-24). Tunaamini katika Ufufuo na Uzima na siku moja tutafurahi nawe mbinguni (Yohana 11:25-26).


Mungu akupe pumziko la Milele, upumzike kwa Amani - Amina

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA WA KIFO CHA CASSIUS O. MDAMI
KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA WA KIFO CHA CASSIUS O. MDAMI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLhSp579XlRSGdPtaPdMbGP9jxCu6n_ftQ1LLaUC25nzdYHZ2EdHm3OvM6Hz3_pnVQoOiAW610ei880bI7D4haVQqgn8TbSJShpK21GBOljivgTTZGiwLd-QHFTisRENQ8ZTlLJt6AmMcS/s640/MDAMI+%25281%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLhSp579XlRSGdPtaPdMbGP9jxCu6n_ftQ1LLaUC25nzdYHZ2EdHm3OvM6Hz3_pnVQoOiAW610ei880bI7D4haVQqgn8TbSJShpK21GBOljivgTTZGiwLd-QHFTisRENQ8ZTlLJt6AmMcS/s72-c/MDAMI+%25281%2529.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/kumbukumbu-ya-mwaka-mmoja-wa-kifo-cha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/kumbukumbu-ya-mwaka-mmoja-wa-kifo-cha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy