KITUO KIPYA CHA KIMAREKANI CHAZINDULIWA MAKTABA KUU YA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dk. Inmi Patterson na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella Manyanya, wakikata utepe katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo Kipya cha Kimarekani kilichoanzishwa kwa ubia na Maktaba Kuu jijini Dar es Salaam Ijumaa hii. Hafla hii ilihudhuriwa pia na Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba nchini, Dk. Alli Mcharazo.
HomeJamii

KITUO KIPYA CHA KIMAREKANI CHAZINDULIWA MAKTABA KUU YA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dk. Inmi Patterson na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella Manyanya, wakikat...








Muonekano kituo  Kituo Kipya cha Kimarekani kilichoanzishwa kwa ubia na Maktaba Kuu jijini Dar es Salaam Ijumaa hii


Muonekano kituo  Kituo Kipya cha Kimarekani kilichoanzishwa kwa ubia na Maktaba Kuu jijini Dar es Salaam Ijumaa hii






 Naibu waziri wa Elimu na Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella Manyanya akihutuba katika uzinduzi wa kituo cha Kimarekani kilichoanzishwa kwa kushirikiana na Ubalozi wa  Marekani nchini Tanzania pamoja na serikali ya Tanzania. 


kikundi cha Ngoma kikisherehesha wakati wa uzinduzi wa kituo  hicho mapema jana.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo Kipya cha Kimarekani wakifuatilia kwa karibu hotuba zilitotolewa na wazungumzaji wakuu wa sherehe hizo jijini Dar es Salaam Ijumaa hii. Kituo hicho cha Kimarekani kimeanzishwa kwa ubia na Maktaba Kuu Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Injia Stella Manyanya ndiye alikuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo uliohudhuriwa na Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson na Mkurugenzi Mkuu wa Huduma za Maktaba nchini, Dk. Alli Mcharazo.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KITUO KIPYA CHA KIMAREKANI CHAZINDULIWA MAKTABA KUU YA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
KITUO KIPYA CHA KIMAREKANI CHAZINDULIWA MAKTABA KUU YA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSoPzGKnDr1e7zR8iuXgQ-UaCe25_QOLI3SqCVms4rfhyphenhyphenphCxIKvusykg9ni-DtoAP8spBkBXUOXbILC7Wg6ODBNRii73ZFP3WvDvYMnCl54qjIPQwgN0nNyzIytltTnDTNE4hhMh6hZ8/s640/IMGL3136.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSoPzGKnDr1e7zR8iuXgQ-UaCe25_QOLI3SqCVms4rfhyphenhyphenphCxIKvusykg9ni-DtoAP8spBkBXUOXbILC7Wg6ODBNRii73ZFP3WvDvYMnCl54qjIPQwgN0nNyzIytltTnDTNE4hhMh6hZ8/s72-c/IMGL3136.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/kituo-kipya-cha-kimarekani-chazinduliwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/kituo-kipya-cha-kimarekani-chazinduliwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy