Wajumbe ambao ni madiwani wa halmashauri mbili ya Mji na Wilaya ya Geita pamoja na watumishi mbali mbali wakifuatilia kikao taarifa na maadh...
Wajumbe ambao ni madiwani wa halmashauri mbili ya Mji na Wilaya ya Geita pamoja na watumishi mbali mbali wakifuatilia kikao taarifa na maadhimio juu ya kikao ambacho kinaendelea.
Mkuu wa Wilaya ya Geita, Mwl Herman Kapufi ambaye ndiye Mwenyekiti wa kamati za ulinzi na usalama akielezea juu ya hatua hizo ambazo zimechukuliwa na mabaraza hayo.
Mbunge wa Geita ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Joseph Kasheku Msukuma,akielezea na kuunga hoja ambayo imetolewa na wajumbe.
Mwanasheria wa Halmashauri ya Mji wa Geita ,Akisoma taarifa na maadhimio juu ya Mgodi wa GGM.
COMMENTS