ZIARA YA RAIS DK.SHEIN MKUTANO WA MAJUMUISHO YA MKOA WA KUSINI PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mkuu wa Wilay...


DSC_6292
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Chake chake Mhe.Salama Mbarouk Khatib mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Makonyo Wilaya ya Chake chake katika Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Kusini Pemba
DSC_6302
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wakati alipofika viwanja vya Ukumbi wa Makonyo Wilaya ya Chake chake katika Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Kusini Pemba,
DSC_6331
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Viongozi mbali mbali walipokuwa wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)wakati wa Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Kusini Pemba,
DSC_6371
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi katika Mkoa wa Kusini Pemba katika Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa huo kwa kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya maendeleo,
DSC_6374
 Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi katika Mkoa wa Kusini Pemba katika Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa huo kwa kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya maendeleo
DSC_6406
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati pichani)wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali katika Mkoa wa Kusini Pemba katika Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa huo kwa kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya maendeleo,(kulia)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba  Mhe.mwanajuma Majid Abdalla (kushoto)
DSC_6415
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati pichani) wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali katika Mkoa wa Kusini Pemba katika Mkutano wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa huo kwa kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya maendeleo  26/08/2017 (Picha na Ikulu)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ZIARA YA RAIS DK.SHEIN MKUTANO WA MAJUMUISHO YA MKOA WA KUSINI PEMBA
ZIARA YA RAIS DK.SHEIN MKUTANO WA MAJUMUISHO YA MKOA WA KUSINI PEMBA
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/08/DSC_6292.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/ziara-ya-rais-dkshein-mkutano-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/ziara-ya-rais-dkshein-mkutano-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy