SKAUTI TOKA UINGEREZA WATUA NCHINI KUJITOLEA CHINI YA MWALIKO WA WENZAO WA TANZANIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: 15/08/2017 Jumla ya skauti wapatao 200 kutoka jimbo la Hamshire Uingereza wapo nchini Tanza...








TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: 15/08/2017
Jumla ya skauti wapatao 200 kutoka jimbo la Hamshire Uingereza wapo nchini Tanzania kwa ziara ya kazi za jamii pamoja na skauti wenzao wa Tanzania.
Skauti hao wamekuja nchini kwa ajili ya kufanya kazi za jamii ambapo wamejitolea kukarabati Kambi kuu ya Mafunzo ya Skauti iitwayo Bahati ambayo ipo mkoani Morogoro nje kidogo ya mji huo.
Ziara hiyo ambayo itachukua zaidi ya mwezi mmoja kukarabati eneo hilo la kambi, na baada ya hapo watatembelea maeneo mengine ya Kilosa, Ifakara, na Mikumi kabla ya kurejea nchini kwao Uingereza.
Kazi za kujitolea kwa vijana Skauti ni mojawapo ya shughuli zao za kila siku kusaidia watu siku zote kama Kanuni za Skauti zinavyosema.
Hii ni mara ya kwanza kwa kundi kubwa la Skauti kutoka Uingereza kutembelea Tanzania.
Wakiwa nchini Tanzania skauti hao kutoka nje wanashirikiana na wenyeji wao Chama cha Skauti Tanzania, kutoka Makao Makuu D’salaam na wengine wa mkoani Morogoro.

HIDAN .O. RICCO.
KAMISHNA MKUU MSAIDIZI
MAWASILIANO NA HABARI
(0673 019112)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SKAUTI TOKA UINGEREZA WATUA NCHINI KUJITOLEA CHINI YA MWALIKO WA WENZAO WA TANZANIA
SKAUTI TOKA UINGEREZA WATUA NCHINI KUJITOLEA CHINI YA MWALIKO WA WENZAO WA TANZANIA
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/08/MHESHIMIWA-JAKAYA-AKIWA-NA-SKAUTI-KTK-MKUTANO-MKUU-WA-DUNIA-2017.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/skauti-toka-uingereza-watua-nchini.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/skauti-toka-uingereza-watua-nchini.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy