Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamis...

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas kuhusiana na tukio la kuuawa wahalifu 13 katika majibizano ya risasi baina ya Polisi na wahalifu hao katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti. Chini ni silaha 8 aina ya SMG pamoja na vifaa vingine zilizopatikana katika majibizano hayo.
OPERESHENI YA KUWADHIBITI WAHALIFU KIBITI YAZAA MATUNDA MAZURI, 13 WAUWAWA NA SILAA ZAREJESHWA POLISI
Labels:
Jamii 3473
Advertisement

MAIN QUOTE
x cbfgmfg hghg
- Steve Jobs
WEEK TRENDING
Loading...
YEAR POPULAR
HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha k...
Meneja wa Mawasiliano wa TBL Group, Zena Tenga, akiongea na wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Premier iliyopo Bagamoyo k...
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof.Jumanne Maghembe akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa m...
COMMENTS