KINANA AMWANDALIA BALOZI WA CHINA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KUMUAGA
HomeSiasa

KINANA AMWANDALIA BALOZI WA CHINA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KUMUAGA

  Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi maalum Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing, wakati wa hafla ya Cha...


 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi maalum Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing, wakati wa hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27, 2017. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, Naibu Spika Tulia Akson, Mabalozi kadhaa wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Mawaziri Kadhaa, Makatibu wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa na Makatibu wa Jumuia za Chama. Picha zote na Bashir Nkoromo.
 Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing akimshukuru Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kupokea zawadi maluum, ambayo Kinana alimzawadia wakati wa chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga.
  Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza kabla ya kumkabidhi zawadi maalum Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing (kulia), wakati wa hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27, 2017.
 Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing (kulia) akiifungua zawadi hiyo. 
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa hafla hiyo.
  Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing (kulia) akizungumza wakati wa hafla hiyo. 
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing wakiinua glasi za vinwaji kabla ya kuzigonganisha kutakiana heri, wakati wa hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27, 2017. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge Tulia Akson. Picha zote na Bashir Nkoromo.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akigonganisha glasi za viwanywaji na Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing kumtakia heri, wakati wa hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27, 2017. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge Tulia Akson. Picha zote na Bashir Nkoromo.
  Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing akigonganisha glasi za vinywaji na Spika wa Bunge Tulia Akson kutakiana her,  wakati wa hafla ya Chakula cha jioni kilichoandaliwa na katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kumuaga Balozi huyo, Upanga jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27, 2017. Kulia niWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uratibu wa Bunge
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akigonganisha glasi za kinywaji na Waziri Jenista Mhagama wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Balozi Lu na wapili kulia ni Naibu Spika Tulia Akson.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akigonganisha Glasi na Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma-Kapijimpanga wakati wa hafla hiyo. 
Katibu wa Jumuia ya wanawake Tanzania Amina Makilagi, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Idara ya Uchumi na Fedha Dk. Frank Hawassi na kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka hamdu Shaka wakiwa na glasi za vinywaji vyao wakati wa hafla hiyo. KWA PICHA NYINGI ZA HAFLA HIYO/BOFYA HAPA
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KINANA AMWANDALIA BALOZI WA CHINA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KUMUAGA
KINANA AMWANDALIA BALOZI WA CHINA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KUMUAGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgljdFaunAnnrE4urEUZCpXjfXhTYOtRHeUpJ4Css4aS1NGbycGidoG7i4DwxrhYV9nscksvxyk-X6oA2m4iSSgzfoA8sGve_Ydeag3N4pExGmj2e27F6NfegRgKAIkuejK5MrZnUz6jBh5/s640/BN643276.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgljdFaunAnnrE4urEUZCpXjfXhTYOtRHeUpJ4Css4aS1NGbycGidoG7i4DwxrhYV9nscksvxyk-X6oA2m4iSSgzfoA8sGve_Ydeag3N4pExGmj2e27F6NfegRgKAIkuejK5MrZnUz6jBh5/s72-c/BN643276.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/kinana-amwandalia-balozi-wa-china-hafla.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/kinana-amwandalia-balozi-wa-china-hafla.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy