HomeJamii

KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA KAZI ZA KUJITOLEA KATIKA KUTEKELEZA SHUGHULI ZA MAENDELEO MKOANI IRINGA.

Na Erasto Chin’goro WAMJW Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na watoto Bibi Sihaba Nkinga amewahamasish...

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA WILAYANI CHATO GEITA.
DC TEMEKE AHIMIZA WAENDESHA BODABODA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO MKUU WA GS1






Na Erasto Chin’goro WAMJW

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na watoto Bibi Sihaba Nkinga amewahamasisha wananchi kujitolea katika kutekeleza shughuliza maendeleo ikiwa ni sehemu ya kuhamsha ari wananchi kufanya kazi za maendeleo yao.

Ameyasema hayo katika ziara yake Mkoani Iringa wakati katika jitihada zake za kuhakakisha jamii inahuisha ari ya kushiriki shughuli za kujitolea na uanzishaji wa miradi inayoibuliwa na kutekelezwa na wananachi wenyewe kwa kushiriki kazi mbalimbali za utekelezaji wa shughuli hizo katika maeneo ya mijini na vijijini.

“Dhana ya maendeleo ya jamii inawataka wananachi kujitolea kushiriki kazi za maendeleo kwa kushirikisha kubaini mahitaji na changamoto zinazowakabaili wananachi na kujadiliana pamoja kuhusu mbinu za utatauzi wa changamoto hizo” alisema Bibi Sihaba.

Bibi Sihaba ameongeza kuwa wananchi waendelee kuainisha ushiriki wao katika kukamilisha miradi hiyo ya pamoja kwa kutumia rasilimali na nguzu kazi ya ndani badala ya kutegemea misaada ya nje ya jamii.


Aidha Katibu Mkuu Bibi Sihaba Nkinga amewataka wananchi katika maeneo mengine kuiga mfano bora wa kijiji cha Ufyemba ili kujiletea maendeleo bila kusubiria msaada wa Serikali kuu.

Dhana hii ya kujitolea katika kutekeleza shughuli za maendeleo imefanikisha  kijiji cha Ufyemba kata ya Wasa kilichoko wilaya ya Iringa vijijini, mkoani Iringa kushirikiana na wananchi kukamilisha ujenzi wa zahanati ili kupata uhakika wa huduma za afya kwa watoto, wanawake, na jamii kwa ujumla.

Katika tukio hili, Katibu Mkuu aliongozana na uongozi wa mkoa wa Iringa ukiongozwa na KAtibu tawala Mkoa wa Iringa Bibi Wamoja Ayoub, viongozi wa wilaya ya Iringa vijijini, uongozi wa kata ya Wasa na kijiji cha Ufyemba. 

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA KAZI ZA KUJITOLEA KATIKA KUTEKELEZA SHUGHULI ZA MAENDELEO MKOANI IRINGA.
KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA KAZI ZA KUJITOLEA KATIKA KUTEKELEZA SHUGHULI ZA MAENDELEO MKOANI IRINGA.
https://i.ytimg.com/vi/sRUpsLwAX-A/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/sRUpsLwAX-A/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/katibu-mkuu-sihaba-nkinga-ahimiza-kazi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/katibu-mkuu-sihaba-nkinga-ahimiza-kazi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy