Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (wa pili kulia), akishiriki maandamano ya washiriki ...
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (wa pili kulia), akishiriki maandamano ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Taasisi ya GS1 jijini Dar es Salaam.
Maandamano yakielekea ukumbini.
Mwenyekiti wa Bodi ya GS1 Tanzania, Gideon Mazara (wa kwanza kulia), akiwashiriki maandamano wakati wa kuingia ukumbini katika Mkutano Mkuu wa Mwakwa wa taasisi hiyo.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshakanabo, Mkurugenzi wa Huduma Mbadala wa Benki ya CRDB, Philip Alfred na Msaidizi wa Mkurugezi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Kenny Kasigila.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (katikati), akipokea maandamano ya washiriki wa mkutano wa GS1.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto), akiwa na baadhi ya watendaji wa benki hiyo katika mkutano wa Mwaka wa taasisi ya GS1.
Mkutano ukiendelea.
Washiriki wa mkutano huo.
COMMENTS