CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI YA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI MJINI DODOMA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kushoto) akiongoza nyimbo ya hamasa mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulra...



Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kushoto) akiongoza nyimbo ya hamasa mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana kuwasili kufunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.

Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akifunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani (kulia) ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo(kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi .

Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akifunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.


Katibu wa NEC Uchumi na fedha Dkt.Frank George Haule hawassi akiwasilisha mada wakati wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM
tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.

baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
maofisa wa chama wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Mafunzo yakiendelea

washiriki Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani wakiwa katika mijadala kwa makundi mbalimbali kuchambua yale walio jifunza katika mafunzo elekezi yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Oganaizesheni ndg: pelela Ame Silima,akizungumza wakati wa kufunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ndg:Humphrey Polepole akizungumza wakati wa kufunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela ubinga,akizungumza wakati wa kufunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa
Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akizungumza wakati wa kufunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makaomakuu ya CCM mjini Dodoma. (PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI YA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI MJINI DODOMA
CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI YA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI MJINI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUx9lhDeFvEwGgsNn5EnsDtqrLNAn89UQPTNcPT2IxKe3jAscEteNKQIb9YjhmUbyDZACxzr1AqAUaSBZqnaGDOdcsVw4eoP7GGb62gVxiIWUxSMWMAJpSBBAGuTtC-HTFS2rEZwwARMk/s640/vijanaday76.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUx9lhDeFvEwGgsNn5EnsDtqrLNAn89UQPTNcPT2IxKe3jAscEteNKQIb9YjhmUbyDZACxzr1AqAUaSBZqnaGDOdcsVw4eoP7GGb62gVxiIWUxSMWMAJpSBBAGuTtC-HTFS2rEZwwARMk/s72-c/vijanaday76.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/ccm-yahitimisha-mafunzo-elekezi-ya-siku.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/ccm-yahitimisha-mafunzo-elekezi-ya-siku.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy