BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION)
HomeJamii

BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION)

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Rais wa Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) ambaye p...

VIDEO:DKT NDUGULILE NA HARAMBEE YA UJENZI NYUMBA ZA WATUMISHI MAKAZI YA KULEA WAZEE YA KIILIMA BUKOBA.
WAZIRI MKUU MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANYAMA PORI DUNIANI, MACHI 3,2018
KAMANDA MUSLIMU AZUNGUMZIA BODABODA KUPIGWA BARABARANI



Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Rais wa Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama (kushoto) na Katibu Mkuu wa Umoja huo Mheshimiwa. N’ZI Koffi (kulia).



Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Rais wa Umoja wa Mabunge ya Afrika ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Spika huyo wa Guine-Bissau alitembelea Mhe Ndugai kwa lengo la kumpa mwaliko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kujiunga na Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union). Kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja huo Mheshimiwa N’ZI Koffi.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea mwaliko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kujiunga na Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) kutoka kwa Rais wa Umoja huo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam anayeshuhudia kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja huo Mheshimiwa. N’ZI Koffi.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimueleza jambo na Rais wa Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam mara baada ya kupokea mwaliko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kujiunga na Umoja huo.


Rais wa Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama (kushoto) akimkabidhi zawadi Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kulia) mara baada ya mazungumzo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kupokea mwaliko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kujiunga na Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION)
BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION)
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/08/PIC-04.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/bunge-la-tanzania-lapokea-mwaliko-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/bunge-la-tanzania-lapokea-mwaliko-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy