ANNA ABDALLAH AWAPONGEZA GIRL GUIDES KWA KUIWAKILISHA VIZURI TANZANIA NJE YA NCHI

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna Abdallah (katikati) akiwa na Girl Guides waliorejea nchini ...




Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna Abdallah (katikati) akiwa na Girl Guides waliorejea nchini kutoka kwenye programu ya Yess ya kubadilishana uzoefu katika masuala ya uongozi, utamaduni na maadili katika nchi za Uganda, Madagascar, Zimbabwe na Zambia.


Hapo ilikuwa wakati wa hafla maalumu iliyoandaliwa na TGGA Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapongeza na kupata mrejesho wa walichojifunza walipokuwa kwenye programu hiyo inayodhaminiwa na Norwey.Anna Abdallah aliwapongeza wasichana hao wanne kwa kuiwakilisha vizuri TGGA na Tanzania katika programu hiyo nje ya nchi.


Kutoka kulia ni Ummy Mwabondo alikwenda Zambia, Farida Mjoge aliyekuwa Uganda, Elizabeth Betha (Madagascar) na Edna Chembele (Zimbabwe)

Girl Guides hao wakipata msosi wakati wahafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa kwa ajili yao kwenye Hoteli ya Golden Tulip, Oysterbay, Dar es Salaam.

Anna Abdallah akiotoa nasaha na pongezi kwa Girl Guides kwa kuiwakilisha vizuri TGGA NA Tganzania kwa ujumla, ambapo aliwataka watumie mafunzo waliyoyapata kwa kutoa mafunzo kwa wasichana wenzao nchini.

Wakiwa na furahani Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi (kushoto), Anna Abdallah (katikati) na Mjumbe wa TGGA, Agnes Makenya

Katibu Mkuu wa TGGA Tanzania, Grace Shaba akitoa neno la ukaribisho muda mfupi kabla ya Girl Guides waliorejea nchini kutoka nje ya nchi kwenye programu hiyo kuelezea mambo mbalimbali waliyoyafanya na kujifunza

Grace Shaba akiwatambulisha Girl Guides hao

i Ummy Mwabondo akielezea kwa njia ya picha kazi mbalimbali alizokuwa anazifanya alipokuwa Zambia

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya TGGA, Sophia Mjema akitoa ufafanuzi wakati Girl Guides wakielezea mafanikio na changamoto ya mafunzo yao nje ya nchi

Girl Guides Farida akielezea mambo mbalimbali aliyoyafanya akiwa Uganda kwa muda wa miezi sita.

Viongozi na wageni waalikwa wakionesha ishara ya TGGA

Viongozi wa Girl Guides Makao Makuu ya TGGA wakiwa na furaha wakati wa hafla hiyo

Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi (kushoto), akiwa na Kamishna wa Kimataifa wa TGGA wakijadili jambo

Sasa ni wakati wa msosi

























Mwenyekiti wa TGGA, Profesa Martha Qorro akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya TGGA, Anna Abdala kuzungumza katika hafla hiyo.

Mwakilishi wa wazazi wa Girl Guides hao, Florence Gondwe akitoa shukrani kwa TGGA kwa kuwapatia wasichana hao fursa ya kwenda nje ya nchi kwenye programu hiyo ambayo alidai itawasaidia sana kimaisha.

Kamishna Hangi akitoa neno la shukrani kwa viongozi waliohudhuria hafla hiyo pamoja na Girl Guides

Wakiwa katika picha ya pamoja




Anna Abdallah akiagana na Girl Guides baada ya hafla kumalizika.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ANNA ABDALLAH AWAPONGEZA GIRL GUIDES KWA KUIWAKILISHA VIZURI TANZANIA NJE YA NCHI
ANNA ABDALLAH AWAPONGEZA GIRL GUIDES KWA KUIWAKILISHA VIZURI TANZANIA NJE YA NCHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh02XbVc7MvvZlCe2e1JIiJ076fmyABIVaAckEF4qtZ22RuHO4STO2gbVtm4nN2CG_hFbMgkOyw2nbUOM4kZLq5YS8IB7-QyOd_T9y06bGENUG3yi0zDt9wNegmmp1H7ztKS5olgnxJP5D-/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh02XbVc7MvvZlCe2e1JIiJ076fmyABIVaAckEF4qtZ22RuHO4STO2gbVtm4nN2CG_hFbMgkOyw2nbUOM4kZLq5YS8IB7-QyOd_T9y06bGENUG3yi0zDt9wNegmmp1H7ztKS5olgnxJP5D-/s72-c/01.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/anna-abdallah-awapongeza-girl-guides.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/anna-abdallah-awapongeza-girl-guides.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy