WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHUHUDIA LORI LILILOTUMBUKIA MTO SONGWE, MSAFARA WAKE WASIMAMA KWA MUDA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipenya ili kuvuka  katika daraja la mto Songwe kwenye mpaka wa  mikoa ya Mbeya na Songwa baada ...


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipenya ili kuvuka  katika daraja la mto Songwe kwenye mpaka wa  mikoa ya Mbeya na Songwa baada ya Lori lililokuwa limebeba vinywaji baridi kupinduka katika  daraja hilo na kuziba barabara. Ajali hiyo ilisababisha msururu mrefu wa magari  yaliyokuwa yakitoka Tunduma na yale yaliyokuwa yakitoka Mbeya Julai 24, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

  1. Msururu wa magari uliosababishwa na  ajali ya lori lililopinduka  kwenye daraja la mto Songwe katika barabara Mbeya- Tunduma Julai 24, 2017. Lori hilo lilikuwa limebeba vinywaji baridi.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHUHUDIA LORI LILILOTUMBUKIA MTO SONGWE, MSAFARA WAKE WASIMAMA KWA MUDA
WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHUHUDIA LORI LILILOTUMBUKIA MTO SONGWE, MSAFARA WAKE WASIMAMA KWA MUDA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjOdm3mdaKPOk0Goc6Zrcw5WtohsFl_-UvOJg2VBe1_UV2yd8GeP7Bdnz4HfgTmQQ4v4wwhQerK7WcRvTJzw9x-Zfg8BEltLFUHLRwHbsn4-D82c5DR1th6imQOTJ6WHdwTi6eF5aP-AbrB/s640/PMO_5700.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjOdm3mdaKPOk0Goc6Zrcw5WtohsFl_-UvOJg2VBe1_UV2yd8GeP7Bdnz4HfgTmQQ4v4wwhQerK7WcRvTJzw9x-Zfg8BEltLFUHLRwHbsn4-D82c5DR1th6imQOTJ6WHdwTi6eF5aP-AbrB/s72-c/PMO_5700.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/07/waziri-mkuu-majaliwa-ashuhudia-lori.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/waziri-mkuu-majaliwa-ashuhudia-lori.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy