RAIS DK. SHEIN AONDOKA NCHINI LEO NA KUELEKEA UINGEREZA KWA ZIARA MAALUM
HomeJamii

RAIS DK. SHEIN AONDOKA NCHINI LEO NA KUELEKEA UINGEREZA KWA ZIARA MAALUM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali...

WAKAMATWA KWA MIUNDOMBINU YA SHIRIKA LA UMEME TANESCO YENYE THAMANI YA TSH 61,000,000
MKUU WA WILAYA YA HAI, BYAKANWA AMALIZA MGOGORO WA ARDHI KWA KUREJESHA SHAMBA LA FOFO ESTATE KWA HALMASHAURI YA WILAYA HIYO
MKOA WA SONGWE WAPIGWA JEKI MIFUKO 125 YA CEMENT KUTOKA TPB


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali alipokuwa akiondoka nchini leo na Ujumbe wake kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum  ya wiki mbili. 
 
1
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud alipokuwa akiondoka chini leo akifuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili.
 
2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi pamoja Viongozi mbali mbali  alipokuwa akiondoka nchini leo Julai 6 2017 na Ujumbe wake kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili. (Picha na Ikulu)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DK. SHEIN AONDOKA NCHINI LEO NA KUELEKEA UINGEREZA KWA ZIARA MAALUM
RAIS DK. SHEIN AONDOKA NCHINI LEO NA KUELEKEA UINGEREZA KWA ZIARA MAALUM
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/07/unnamed-49.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/07/rais-dk-shein-aondoka-nchini-leo-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/rais-dk-shein-aondoka-nchini-leo-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy