MKUU WA MAJESHI YA INDIA ADMIRAL SUNIL LAMBA KUWASILI NCHINI LEO KWA ZIARA YA KIKAZI
HomeJamii

MKUU WA MAJESHI YA INDIA ADMIRAL SUNIL LAMBA KUWASILI NCHINI LEO KWA ZIARA YA KIKAZI

Mkuu wa Majeshi ya India Admiral Sunil Lanba atawasili nchini kwa ziara ya kikazi JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA KURUGENZI...

BOMOA BOMOA KANDO YA RELI YALIKUMBA ENEO LA KURASINI DAR
WAKAZI WA JIJINI MBEYA WAENDELEA KUONJA MSISIMKO WA COCA-COLA KWENYE MATAMASHA MAALUMU KUSHEREKEA KINYWAJI HICHO KATIKA CHUPA YAKE MPYA YENYE RANGI NYEKUNDU
SERIKALI IMEFUTA USAJILI WA VIBALI VYA UZALISHAJI NA UINGIZAJI WA POMBE ZA VIROBA
Mkuu wa Majeshi ya India Admiral Sunil Lanba atawasili nchini kwa ziara ya kikazi


logo[3]
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO


Simu ya Upepo   : “N G O M E      Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo : DSM 22150463      Sanduku la Posta 9203,
Telex           : 41051      DAR ES SALAAM,26Julai 2017
Tele Fax : 2153426
Tovuti : www.tpdf.mil.tz
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Mkuu wa Majeshi ya India Admiral Sunil Lanba atawasili nchini kwa ziara ya kikazi. Mkuu wa Majeshi huyo atatembelea Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kuanzia saa 07:30 asubuhi. Atapokelewa kwa gwaride maalum lililoandaliwa na JWTZ katika viwanja vya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) vilivyopo  maeneo ya Upanga jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi huyo atakutana na kuongea na mwenyeji wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo ofisini kwake Upanga jijini Dar es Salaam.
Nyote mnakaribishwa katika mapokezi hayo.   
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.

Kwa Mawasiliano zaidi : 0756 716085

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKUU WA MAJESHI YA INDIA ADMIRAL SUNIL LAMBA KUWASILI NCHINI LEO KWA ZIARA YA KIKAZI
MKUU WA MAJESHI YA INDIA ADMIRAL SUNIL LAMBA KUWASILI NCHINI LEO KWA ZIARA YA KIKAZI
https://lh3.googleusercontent.com/e1fP5tvpHi50NrW-NYtAP0gJ9hjzX_CM4o7YXP7k61jFP3iGoGC-u2FcwZvCaus4MsUmGCN5hBM1kpSC8wQMwLi_r4W3glLhMXE-QD9_qKcYT328oMIgt0xqy-_2QsRBijK65PbemO78bzPALg
https://lh3.googleusercontent.com/e1fP5tvpHi50NrW-NYtAP0gJ9hjzX_CM4o7YXP7k61jFP3iGoGC-u2FcwZvCaus4MsUmGCN5hBM1kpSC8wQMwLi_r4W3glLhMXE-QD9_qKcYT328oMIgt0xqy-_2QsRBijK65PbemO78bzPALg=s72-c
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mkuu-wa-majeshi-ya-india-admiral-sunil.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mkuu-wa-majeshi-ya-india-admiral-sunil.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy