Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Dk. Ali Mohammed Shein akimvisha nishani ya Mapinduzi Bwana Aboud Talib A...
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Dk. Ali Mohammed Shein
akimvisha nishani ya Mapinduzi Bwana Aboud Talib Aboud katika hafla ya
kutunuku nishani ya Mapinduzi,nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani
ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Dk. Ali Mohammed Shein
katikati akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi na waliotunukiwa
nishani mbalimbali katika hafla ya kutunuku nishani ya Mapinduzi,nishani
ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja
vya Ikulu mjini Unguja.
Baadhi
ya waalikwa waliohudhuria katika hafla ya kutunuku nishani ya
Mapinduzi, nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa
iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja.
Baadhi
ya Waheshimiwa waliohudhuria katika hafla ya kutunuku nishani ya
Mapinduzi,nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa
iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja.
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi (kulia) akipeana mikono
na Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Gharib
Mohammed Bilal katika hafla ya kutunuku nishani ya Mapinduzi, nishani ya
Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja vya
Ikulu mjini Unguja. (PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR)
Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.
Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Viongozi wa Kitaifa pamoja na Wananchi mbali mbali wakishuhudia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitunuku Nishani mbali mbali katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja leo
Viongozi wakisiama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,shuhuli iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (mbele) pamoja na Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja
Baadhi ya Viongozi na Wananchi mbali mbali ambao leo wamepewa Nishani mbali mbali na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,NIshani ya Mapinduzi,Viongozi na wananchi wenyesifa maalum,Nishani ya Utumishi Uliotukuka,Watumishi wa Serikali,Nishani Watumishi wa Idara Maalum za SMZ na Nishani ya Ushujaa

Baadhi ya Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi wakiwa katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,ikiwa ni NIshani ya Mapinduzi,Nishani kwa Viongozi na wananchi wenyesifa maalum,Nishani ya Utumishi Uliotukuka,Watumishi wa Serikali,Nishani Watumishi wa Idara Maalum za SMZ na Nishani ya Ushujaa,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017
Baadhi ya Viongozi na Wananchi mbali mbali ambao leo wamepewa Nishani mbali mbali na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja, Nishani ya Mapinduzi,Viongozi na wananchi wenyesifa maalum, Nishani ya Utumishi Uliotukuka,Watumishi wa Serikali,Nishani Watumishi wa Idara Maalum za SMZ na Nishani ya Ushujaa 29/06/2017. (Picha na Ikulu)
COMMENTS