WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAARIFA YA HALI YA VYOMBO VYA HABARI NCHINI TANZANIA KWA MWAKA 2016.
HomeJamii

WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAARIFA YA HALI YA VYOMBO VYA HABARI NCHINI TANZANIA KWA MWAKA 2016.

Makamu wa Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini, Jane Mihanji, akizungumza hii leo kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa...

TANZIA; MFANYAKAZI WA IDARA YA HABARI WA GAZETI LA HABARILEO ATHUMANI HAMISI AFARIKI
RAIS DKT. MAGUFULI AAGANA NA GAVANA PROF. NDULU PIA AKUTANA NA GAVANA MTEULE WA (BOT) PROF. LUOGA IKULU DAR ES SALAAM
MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA MKE WA WAZIRI KANGI LUGOLA

Makamu wa Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini, Jane Mihanji, akizungumza hii leo kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, yanayofanyika kitaifa Jijini Mwanza.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe, ambaye amemwakilisha Rais John Pombe Magufuli.
#BMGHabari
Afisa Habari na Utafiti kutoka Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania, Gasirigwa Sengiyumva, akizungumza hii leo kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, yanayofanyika kitaifa Jijini Mwanza.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe (kulia), akizindua "taarifa ya hali ya vyombo vya Habari kwa mwaka 2016". Kushoto ni mjumbe bodi ya Misa Tanzania, Lilian Lucas.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe, akizindua "taarifa ya hali ya vyombo vya Habari kwa mwaka 2016".
Uzinduzi wa "taarifa ya hali ya vyombo vya Habari kwa mwaka 2016".
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe, leo amezindua "taarifa ya hali ya vyombo vya Habari nchini Tanzania kwa mwaka 2016" kwenye maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Kitaifa Jijini Mwanza.

Akizungumza mapema kabla ya uzinduzi huo, Dkt.Mwakyembe, ameahidi kutetea na kulinda uhuru wa waandishi wa habari hususani wanaoandika habari za uchunguzi huku akiwahimiza waandishi wa habari kujikita kwenye habari za uchunguzi badala ya habari za kihisia.

Afisa Habari na Utafiti kutoka Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania, Gasirigwa Sengiyumva, amebainisha kwamba taarifa hiyo imeangazia tathmini ya vyombo vya habari kuanzia Januari Mosi hadi Disemba 31, 2016 ambapo imezinduliwa katika nchi 11 wanachama wa SADC.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAARIFA YA HALI YA VYOMBO VYA HABARI NCHINI TANZANIA KWA MWAKA 2016.
WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAARIFA YA HALI YA VYOMBO VYA HABARI NCHINI TANZANIA KWA MWAKA 2016.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh15JGlPm3pU0aAeX4XTYQRtivnNRYCTh1j1FbERIzO4hovLHlOyUnPl-a0khpnhe_GVssYfwleAcL6Fatb0PKy6ZjVbHjvsVd5wfWOH_vjN2_MZKGCFX9V464n4S4xkuXZqs2bFKUPWu8/s640/21.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh15JGlPm3pU0aAeX4XTYQRtivnNRYCTh1j1FbERIzO4hovLHlOyUnPl-a0khpnhe_GVssYfwleAcL6Fatb0PKy6ZjVbHjvsVd5wfWOH_vjN2_MZKGCFX9V464n4S4xkuXZqs2bFKUPWu8/s72-c/21.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/05/waziri-mwakyembe-azindua-taarifa-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/waziri-mwakyembe-azindua-taarifa-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy