WASICHANA 82 KATI YA 276 WA SHULE YA CHIBOK, WAACHIWA HURU NA BOKO HARAM

Wasichana walioshikwa mateka wakipanda helikopta ya jeshi NA K-VIS BLOG/Mashirika ya Habari WASICHANA 82, waliotekwa   ny...


Wasichana walioshikwa mateka wakipanda helikopta ya jeshi


NA K-VIS BLOG/Mashirika ya Habari
WASICHANA 82, waliotekwa  nyara na kundi la Boko Haram nchini Nigeria wakiwa bwenini kwenye shule moja ya Chibok nchini humo, kiasi cha miaka mitatu iliyopita, wameachiwa huru Mei 7, 2017.
Wasichana hao wameachiwa kwa kubadilishana na viongozi watano wa Boko Haram na ni matokeo ya majadiliano ya miezi kadhaa yaliyohusisha wapatanishi toka mabara mawili.
Hata hivyo, wasichana hao ambao wakati wanachukuliwa mateka walikuwa ni wanafunzi, wameacha wenzao kadhaa bado wakishikiliwa. Boko Haram iliwachukua mateka jumla ya wasichana wa shule 276 wakiwa kwenye mabweni ya shule mnamo Aprili,  2014.
Kuachiwa huru kwa wasichana hao, kuna fuatia majadiliano yaliyoratibiwa na Mustapha Zanna ambaye anaendesha kituo cha yatima huko Maiduguri ambaye awali alikuwa mwanasheria wa mwasisi wa kundi hilo la Boko Haram, Mohammed Yusuf, lakini pia majadiliano hayo yaklihusisha serikali ya Uswis na Msalaba Mwekundu.
Wakiwa kwenye pick-up ya Msalaba Mwekundu, na wakiwa wamevalia T-shirts zenye nembo ya Msalaba Mwekundu, walionekana wakipanda helikopta ya jeshi na kusafirishwa kwenda mji mkuu Lagos kukutana na Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WASICHANA 82 KATI YA 276 WA SHULE YA CHIBOK, WAACHIWA HURU NA BOKO HARAM
WASICHANA 82 KATI YA 276 WA SHULE YA CHIBOK, WAACHIWA HURU NA BOKO HARAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhAJwauM4zcHlmYDYXYT5XMHg-s-x8jJAZsZziwyLrZ7mthrvsDmcewU9lEvXDyBFCmTkgTlri-e-khgsrXJAq5OCzYdLdGzUdfx8BcnktHVqUSzj07KNV_5oPDP075aDuYC7fEtZP6uTc/s320/554.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhAJwauM4zcHlmYDYXYT5XMHg-s-x8jJAZsZziwyLrZ7mthrvsDmcewU9lEvXDyBFCmTkgTlri-e-khgsrXJAq5OCzYdLdGzUdfx8BcnktHVqUSzj07KNV_5oPDP075aDuYC7fEtZP6uTc/s72-c/554.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/05/wasichana-82-kati-ya-276-wa-shule-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/wasichana-82-kati-ya-276-wa-shule-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy