WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MEI DEI, UWANJA WA UHURU DAR PAMOJA KUTUNUKU WAFANYAKAZI HODARI
HomeJamii

WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MEI DEI, UWANJA WA UHURU DAR PAMOJA KUTUNUKU WAFANYAKAZI HODARI

Aliyekuwa Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta  ambaye anajiandaa kustaafu, Fortunatus Kapinga akizungumza wakati wa kuwatuza ...

Aliyekuwa Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta  ambaye anajiandaa kustaafu, Fortunatus Kapinga akizungumza wakati wa kuwatuza wafanyakazi hodari wa shirika. Kushoto ni Kaimu Postamasta Mkuu mpya, Deo Kwiyukwa na kulia ni Meneja wa Fedha, Cyprian Mugemuzi.
Kaimu Postamasta Mkuu mpya wa Shirika la Posta, Deo Kwiyukwa akiwa na baadhi ya watendaji washirika hilo, wakiimba wimbo wa wafanyakazi wa mshikamano.  
Mmoja wa wafanyakazi wa shirika la Posta, Zainabu Ukwaju akigogesha glasi na Kaimu Postamasta Mkuu mpya wa Shirika la Posta, Deo Kwiyukwa.
Baadhi ya wafanyakazi wa shirika la Posta wakiwa katika hafla ya kuwatunuku wafanyakazi hodari.  
Kaimu Postamasta Mkuu mpya wa Shirika la Posta, Deo Kwiyukwa akizungumza wakati wa hafla hiyo. 
Kaimu Postamasta Mkuu mpya wa Shirika la Posta, Deo Kwiyukwa akimkabidhi cheti mmoja wa wafanyakazi hodari wa shirika, Arubee Ngaruka  wakati wa hafla hiyo.
Kaimu Postamasta Mkuu mpya wa Shirika la Posta, Deo Kwiyukwa akimkabidhi cheti mmoja wa wafanyakazi hodari wa shirika, Christina Chale, wakati wa hafla hiyo. 
Wafanyakazi hodari wa shirika la Posta wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa shirika wakati wa hafla hiyo. 
Wafanyakazi hodari wa shirika la Posta wakiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Postamasta Mkuu mpya wa Shirika la Posta, Deo Kwiyukwa wakati wa hafla hiyo. 
Wafanyakazi wa Shirika la Posta wakipita mbele ya mgeni rasmi, Rais mstaafu wa Chama cha Walimu (CWT), Magreth Sitta na mabango wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru. 
Wafanyakazi wa Shirika la Posta wakipita mbele ya mgeni rasmi na miavuli wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru. 

Wafanyakazi wa usafirishaji vifurushi na barua wakipita na pikipiki, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru.
Magari ya kusafirishia vifurushi pamoja na mizigo mingine kwenda kwa wateja wa shirika yakipita mbele ya mgeni rasmi. 

Kaimu Postamasta Mkuu mpya wa Shirika la Posta, Deo Kwiyukwa akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuwatunuku wafanyakazi hodari wa shirika.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MEI DEI, UWANJA WA UHURU DAR PAMOJA KUTUNUKU WAFANYAKAZI HODARI
WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MEI DEI, UWANJA WA UHURU DAR PAMOJA KUTUNUKU WAFANYAKAZI HODARI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi-qkTBIMZVWQVJ34-hJAVMpMTQUeYfXKZ89WAJrJbDbfRfVdtiOYckgpxd_pxMltvYaJrO_-_qzw-RJrhXmynzhLZV0eVOqOmPwfDYIsKmhKuIDGJh455b1bzeGsOOGsr7YuUhxQgaujWK/s640/P+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi-qkTBIMZVWQVJ34-hJAVMpMTQUeYfXKZ89WAJrJbDbfRfVdtiOYckgpxd_pxMltvYaJrO_-_qzw-RJrhXmynzhLZV0eVOqOmPwfDYIsKmhKuIDGJh455b1bzeGsOOGsr7YuUhxQgaujWK/s72-c/P+1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/05/wafanyakazi-wa-shirika-la-posta.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/wafanyakazi-wa-shirika-la-posta.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy