Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), Dk.
Rodrick Ndomba akizungumza kufungia semina ya wanavyuo iliyoandaliwa na
taasisi ya Trust Care Tanzania Foundation. Semina hiyo imefanyika katika
ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es Salaam (DUCE) na kushirikisha
wanafunzi anuai kutoka vyuo vya IFM, CBE, DIT, DUCE, TIA, UDSM, MUHAS,
CHUO CHA DIPLOMASIA, KIU, CHUO CHA USTAWI WA JAMII NA CHUO KIKUU CHA
TUMAINI.Mkurugenzi
wa Biashara wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Injinia Enocent Msasi
akizungumza katika semina ya wanavyuo iliyoandaliwa na taasisi ya Trust
Care Tanzania Foundation.Msanii
Nick Wa Pili akiwasilisha mada leo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu
mbalimbali vya jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa na Trust Care Tanzania
Foundation kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL). Semina
hiyo imefanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es Salaam
(DUCE).
MKURUGENZI Mtendaji wa Trust Care
Tanzania Foundation, Zambert Mbwafu alisema semina hiyo ni maalum kwa
wanafunzi waliopo vyuoni kwa ajili ya kuwajengea uwezo. Alisema mada
zilizotolewa ni pamoja na Umuhimu wa Kujiamini na Kujijengea Uwezo,
Uwezo wa Uthubutu, Vipaji na Jinsi ya Kuviendeleza, Maadili na Nidhamu
katika Kazi na Ubunifu katika Kufikia Malengo.
Kwa upande wa wadhamini wakuu wa
semina hiyo Kampuni ya TTCL, Injinia Enocent Msasi Mkurugenzi wa
Biashara TTCL alisema kampuni hiyo imeunga mkono kampuni ya Trust Care
Tanzania kwa dhumuni lake la kuisaidia jamii katika maeneo mbalimbali,
ikiwemo sekta za kiafya, kielimu na kijamii. Aliongeza kuwa lengo hilo
linashabihiana na lengo la TTCL kuhakikisha inakuwa na jamii bora zaidi
kiteknolojia, kielimu, kiafya na kimaendeleo kwa ujumla.
“TTCL imedhamini semina hii
kwasababu inatoa mchango mkubwa katika kujenga taifa lenye vijana
wachapakazi, vijana wenye mtizamo chanya, vijana wenye uwezo wa
uthubutu, na kupambana na changamoto mbalimbali za kimaisha, ” alisema
Msasi na kuongeza kuwa TTCL kupitia huduma zake bora za intaneti, sauti
na SMS inawaunga mkono vijana mara zote na itakuwa mstari wa mbele
kufanikisha juhudi zao za kuleta mabadiliko chanya katika jamii.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Trust Care Tanzania Foundation, Zambert Mbwafu akizungumza
kwenye semina ya kuwajengea uwezo wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali vya
jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa na Trust Care Tanzania Foundation
kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).Mkurugenzi
wa Biashara wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Injinia Enocent Msasi
akizungumza katika semina ya wanavyuo iliyoandaliwa na taasisi ya Trust
Care Tanzania Foundation.Sehemu
ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali vya jijini Dar es Salaam
wakishiriki semina ya kuwajengea uwezo iliyoandaliwa na Trust Care
Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
Semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es
Salaam (DUCE).Sehemu

Salaam (DUCE).Mmoja
wa wawasilishaji mada kwa wanafunzi (hawapo pichani) wa vyuo vikuu
mbalimbali vya jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa na Trust Care Tanzania
Foundation kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL). Semina
hiyo imefanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es Salaam
(DUCE).Mkurugenzi
Mtendaji wa Trust Care Tanzania Foundation, Zambert Mbwafu akizungumza
na wanahabari (hawapo pichani) nje ya ukumbi wa semina hiyo.Sehemu
ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali vya jijini Dar es Salaam
wakishiriki semina ya kuwajengea uwezo iliyoandaliwa na Trust Care
Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
Semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es
Salaam.
Loaded All PostsNot found any postsVIEW ALLReadmoreReplyCancel replyDeleteByHomePAGESPOSTSView AllRECOMMENDED FOR YOULABELARCHIVESEARCHALL POSTSNot found any post match with your requestBack HomeSundayMondayTuesdayWednesdayThursdayFridaySaturdaySunMonTueWedThuFriSatJanuaryFebruaryMarchAprilMayJuneJulyAugustSeptemberOctoberNovemberDecemberJanFebMarAprMayJunJulAugSepOctNovDecjust now1 minute ago$$1$$ minutes ago1 hour ago$$1$$ hours agoYesterday$$1$$ days ago$$1$$ weeks agomore than 5 weeks agoFollowersFollowTHIS CONTENT IS PREMIUMPlease share to unlockCopy All CodeSelect All CodeAll codes were copied to your clipboardCan not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy
COMMENTS