Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni Ikulu jiji...
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni Ikulu jijini Dar es salaam kabla
ya kuana Mkutano wa 18 wa wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
Mei 20,2017
Rais akisalimiana na Naibu Rais wa Kenya, William Rutto
COMMENTS