MWENGE WA UHURU KUWASILI WILAYA YA UBUNGO KESHO 31 MEI 2017
HomeJamii

MWENGE WA UHURU KUWASILI WILAYA YA UBUNGO KESHO 31 MEI 2017

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake Kibamba Chama-Dar e...

NHC YAFANYA UHAKIKI WA VIKUNDI VYA VIJANA KATIKA MIKOA YA MWANZA, GEITA NA MARA
JAJI KIONGOZI AWATAKA MAJAJI KUTENDA HAKI
JARIDA LA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU LA MWEZI SEPTEMBA, 2016


Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake Kibamba Chama-Dar es Salaam.
 
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori akizungumza na Waandishi wa habari

Mwenge wa Uhuru Mwaka 2017 utawasili kesho Tarehe 31 Mei 2017 katika Wilaya ya Ubungo kuanzia saa moja kamili asubuhi na kuzuru katika Miradi mitano ya Maendeleo.    
    
Akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori amesema kuwa katika mbio hizo za Mwenge wa Uhuru Mradi mmoja wa kituo cha Polisi Gogoni utawekwa jiwe la msingi.

Alisema kuwa Miradi mingine itakayozinduliwa ni Mradi wa Ujenzi wa Jengo la kutolea huduma za VVU katika Kituo cha afya Mbezi, Uzinduzi wa madarasa nane katika shule ya Msingi 

Malambamawili iliyopo Kata ya Msigani, Uzinduzi wa Kituo cha mabasi SIMU 2000 Kata ya Sinza na Uzinduzi wa Zahaanti ya Mburahati.

Mhe Makori alisema kuwa Miradi yote hiyo itakayotembelewa na Mwenge wa Uhuru mwaka 2017 itagharibu Bilioni 2,854,647,991.89

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori amewasihi wakazi wa Manispaa ya Ubungo kujitokeza kwa wingi kuulaki Mwenge wa Uhuru ambao utawasili katika eneo la SAISAI Kata ya Gobaukitokea Manispaa ya Kinondoni.

Pia amewasihi wananchi kujitokeza kwa wingi katika Viwanja vya Barafu, Shule ya Msingi Mburahati kwenye mkesha wa Mwenge wa Uhuru.

Imetolewa Na:
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MWENGE WA UHURU KUWASILI WILAYA YA UBUNGO KESHO 31 MEI 2017
MWENGE WA UHURU KUWASILI WILAYA YA UBUNGO KESHO 31 MEI 2017
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhW0g_Oba7sig2mBpA5bEJzpYzj_EEeeFPtreMl70qDdy5rFI0sVb-MWV-tDZT-4W_NMfBoACwrMbOmA7xIgi7x6IueHXUKdZqXOWfSY4Kbh5-At-6Jfdba0hmNU-5fPF6chyFGR81TnY4D/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhW0g_Oba7sig2mBpA5bEJzpYzj_EEeeFPtreMl70qDdy5rFI0sVb-MWV-tDZT-4W_NMfBoACwrMbOmA7xIgi7x6IueHXUKdZqXOWfSY4Kbh5-At-6Jfdba0hmNU-5fPF6chyFGR81TnY4D/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/05/mwenge-wa-uhuru-kuwasili-wilaya-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/mwenge-wa-uhuru-kuwasili-wilaya-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy