MISS BEATRICE ENOCK WA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA AVISHWA PETE YA UCHUMBA
HomeJamii

MISS BEATRICE ENOCK WA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA AVISHWA PETE YA UCHUMBA

Mtoto wa kiroho aliyezaliwa katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza, Mr.Peter Mlekwa, jana jumapili April 30,2017 amevisha pete...

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFUNGA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU.
BALOZI DKT. WILBROAD SLAA AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN
WASOMI WAHIMIZWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUANDIKA VITABU


Mtoto wa kiroho aliyezaliwa katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza, Mr.Peter Mlekwa, jana jumapili April 30,2017 amevisha pete ya uchumba, mchumba wake Miss Beatrice Enock pia wa kanisa hilo.

Zoezi hilo lilifanyika kanisani hapo chini ya Mchungaji Kiongozi, Dkt. Daniel Moses Kulola, ambapo wawili hao wapendanao walitambulishana mbele ya madhabahu katika kuianza safari yao ya ndoa inayotarajiwa kufanyika mwaka huu.
BMGHabari
Mr.Peter Mlekwa akimvalisha mchumba wake zawadi ya saa
Wachumba, Miss Beatrice Enock na Mr.Peter Mlekwa
Mchungaji Dkt.Daniel Kulola akiwaombea wawili hao kuwa wachumba
Mchungaji Kulola (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wachumba hao
Miss Beatrice Enock (kulia) akiwa na best lady wake, Happy Emmanuel
Muda wa pongezi kwa wachumba hao.

Muda wa pongezi kwa wachumba hao
Muda wa pongezi kwa wachumba hao
Muda wa pongezi kwa wachumba hao
Waumini wa kanisa la EAGT Lumala Mpya katika picha ya pamoja na wachumba hao
Tunawatakia kila la Kheri katika Uchumba wao na katika kutimiza ndo yao ya kuifikia ndoa takatifu, Miss Beatrice Enock na Mr.Peter Mlekwa.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MISS BEATRICE ENOCK WA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA AVISHWA PETE YA UCHUMBA
MISS BEATRICE ENOCK WA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA AVISHWA PETE YA UCHUMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEMXCiPUbkn39WbCqk-ir-7JAgj-QHtChsrQZdHSvN9-RXnobi06UHir9R5GzGgkClWN0lQYcQsJ2RFkj9vpGuObAdrVWqug0JLwDko51P6_-kQJ2_xvoiY8IRbULWSXjRh0KnGStEO1w/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEMXCiPUbkn39WbCqk-ir-7JAgj-QHtChsrQZdHSvN9-RXnobi06UHir9R5GzGgkClWN0lQYcQsJ2RFkj9vpGuObAdrVWqug0JLwDko51P6_-kQJ2_xvoiY8IRbULWSXjRh0KnGStEO1w/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/05/miss-beatrice-enock-wa-kanisa-la-eagt.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/miss-beatrice-enock-wa-kanisa-la-eagt.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy