Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani maarufu kama Prof Maji Marefu akitoa msaada wa kuwaokoa wananchi wa Jimbo...
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani maarufu kama Prof
Maji Marefu akitoa msaada wa kuwaokoa wananchi wa Jimbo lake kwenye
mafuriko yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mengi ya Mji
wa Korogwe na maeneo mengine mengi ya nchi.
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani akijadiliana jambo na baadhi ya wananchi wake.
COMMENTS