WANACHAMA WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA (SHIVYATIATA) ILALA WAKUTANA KUJADILI MASUALA YA VYAMA VYAO DAR ES SALAAM
HomeJamii

WANACHAMA WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA (SHIVYATIATA) ILALA WAKUTANA KUJADILI MASUALA YA VYAMA VYAO DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Tiba Asili Tanzania (Shivyatiata), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Luwongo (katikati), akizungumza ...

TANZANIA NA UGANDA ZASAINI MAKUBALIANO YA KUBORESHA SEKTA YA MIFUGO
KANISA LA UKOMBOZI LATEMBELEA AMANI, LAKUMBUSHA KUJALI WATOTO
IDARA YA HABARI (MAELEZO) YAPOKEA MSAADA WA VIFAA KUTOKA UBALOZI WA CHINA

Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Tiba Asili Tanzania (Shivyatiata), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Luwongo (katikati), akizungumza na wajumbe wa mkutano wa shirikisho hilo wilayani Ilala, wakati wa mkutano wao wa kujadili masuala mbambali yahusuyo vyama vyao pamoja na shirikisho hilo, jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni Katibu wa Shivyatiata, Wilaya ya Ilala, Johanes Chamushala na kushoto ni Katibu Mwenezi wa Shivyatiata, Ilala, Venance Mwamunyange. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala wakimsikiliza Mwenyekiti wa Shivyatiata, Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Luwongo wakati akizungumza nao kwenye mkuano huo, wa kujadili masuala mbambali yahusuyo vyama vyao pamoja na shirikisho hilo, jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni Katibu wa Shivyatiata, Wilaya ya Ilala, Johanes Chamushala. 
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala wakisikiliza hoja na michango mbalimbali iliyokuwa ikitolewa na baadhi wa wajumbe wenzao kwenye mkuano huo, wa kujadili masuala mbambali yahusuyo vyama vyao pamoja na shirikisho hilo, jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala, akitoa mchango wake katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, wa Shivyatiata wilayani Ilala, akitoa mchango wake katika mkutano huo. 
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala, akitoa mchango wake katika mkutano huo. 
Wajumbe wakisikiliza michango na hoja mbalimbali zilizokuwa zikiolewa katika mkutano huo, wa Shivyatiata wilayani Ilala.  
Katibu wa Shivyatiata, Wilaya ya Ilala, Johanes Chamushala, akifafanua jambo kwa wajumbe wa mkutano huo. 
Mratibu wa Tiba Asili na Tiba Mbadala Wilaya ya Ilala, Sophia Ntomola, akizungumza wakati akiwasilisha moja ya mada katika mkutano huo. 
Wajumbe wakimsikiliza Mratibu wa Tiba Asili na Tiba Mbadala Wilaya ya Ilala, Sophia Ntomola, wakati akijibu hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wajumbe wa mkutano huo. 
Mratibu wa Tiba Asili na Tiba Mbadala Wilaya ya Ilala, Sophia Ntomola, akijibu hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wajumbe kwenye mkutano huo. 
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Tiba Asili Tanzania (Shivyatiata), Mkoa wa Dar es Salaam,Juma Luwongo (wa tatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala, mara baada ya kumalizika kwa mkuano huo.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANACHAMA WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA (SHIVYATIATA) ILALA WAKUTANA KUJADILI MASUALA YA VYAMA VYAO DAR ES SALAAM
WANACHAMA WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA (SHIVYATIATA) ILALA WAKUTANA KUJADILI MASUALA YA VYAMA VYAO DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEFuF6g2i1mnaFcgVSiH5f3l6xiqlNIxaujvvGxEK7eUm2RgOIFTC7wRbJSHsmOebJvLerkS-Z6ohOtBjyFkKVHgabeMlrb_eMsU0rA7vGbVQWWQ7TvKUGjnufuYARbgCng8QpwFL3saUk/s640/IMG_0059.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEFuF6g2i1mnaFcgVSiH5f3l6xiqlNIxaujvvGxEK7eUm2RgOIFTC7wRbJSHsmOebJvLerkS-Z6ohOtBjyFkKVHgabeMlrb_eMsU0rA7vGbVQWWQ7TvKUGjnufuYARbgCng8QpwFL3saUk/s72-c/IMG_0059.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/05/wanachama-wa-shirikisho-la-vyama-vya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/wanachama-wa-shirikisho-la-vyama-vya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy