Baadhi ya wabunge wakiwa na Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba wakiwa na Kombe la Ubingwa la Shirikisho (FA CUP...
Baadhi ya wabunge wakiwa na Baadhi ya wachezaji wa
Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba wakiwa na Kombe la Ubingwa la
Shirikisho (FA CUP) waliloshinda baada ya kuwafunga Mbao Fc kwa jumla ya goli 2
-1 katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo Mei 29, 2017.
Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba Kutoka Jijini Dar es Salaam wakiwa Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 29, 2017.
Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba Kutoka Jijini Dar es Salaam wakiwa Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 29, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe akijibu maswali mbalimbali kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe.
Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera
Bunge Kazi Ajira Vijana na watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama katika kikao
cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29,2017
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi
Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha
Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Mbunge wa Mtwara Vijijini (CCM) Mhe. Hawa Ghasia akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Naibu Waziri wa Afya maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Mbunge wa Kalambo Mhe. Josephat Kandege akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt Agustine Maige akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa 2017/2018 katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
COMMENTS