KIKAO CHA ISHIRINI MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 9, 2017

  Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza    kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bung...


 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu hoja Mbalimbali za Wabunge  katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Mbunge wa Segerea Mhe.Bonnah Kaluwa  akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani  Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa mabo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo Mbunge wa Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
  Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Jumanne Maghembe akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe.Joshua Nassari katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Mbunge wa Mwibara (CCM) Mhe.Kangi Lugora akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Mbunge wa Madaba Mhe.Joseph Mhagama akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Maria Kangoye akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.Dk Charles Tizeba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
 Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017. 

(Picha na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KIKAO CHA ISHIRINI MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 9, 2017
KIKAO CHA ISHIRINI MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 9, 2017
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_sfAhQsfhJZSFFKvaFARMKc_ZsTzqWojfFOvCXvqjWzt4O_APtZPX2EJbARST3mtO7J8EDee8TXLFe7xzKfnc4eZZy2rDQ0IqhajNcMiP_3qFiD-_njYNI9IBFdc7pUY7PHylkuwrpnQV/s640/5989-Mwenyekiti+wa+Bunge.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_sfAhQsfhJZSFFKvaFARMKc_ZsTzqWojfFOvCXvqjWzt4O_APtZPX2EJbARST3mtO7J8EDee8TXLFe7xzKfnc4eZZy2rDQ0IqhajNcMiP_3qFiD-_njYNI9IBFdc7pUY7PHylkuwrpnQV/s72-c/5989-Mwenyekiti+wa+Bunge.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/05/kikao-cha-ishirini-mkutano-wa-saba.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/kikao-cha-ishirini-mkutano-wa-saba.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy