Tabora, Tanzania Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo, ameendelea na ziara yake ya Kich...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo, ameendelea na ziara yake ya Kichama katika mikoa mitano ambapo leo ziara hiyo imemfikisha katika Wilaya za Igunga na Nzega mkoani Tabora, ambako amefazungumza katika vikao vya ndani na Wajumbe wa Halmashauri Kuu za CCM za wilaya hizo, Mabalozi na watendani wa CCM na Serikali.
Pamoja a kuzungumzia uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea ngazi za mashina, pia amesisitiza haja na umuhimu wa madiwani kufanya kazi kwa Karibu na Mabalozi. Zifuatazo ni mfululizo wa matukio katika picha kuhusu ziara hiyo, tafadhali endelea kutazama.
COMMENTS