MWENYEKITI MPYA WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JAJI SEMISTOCLES KAIJAGE AANZA KAZI RASMI

  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhan (kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti mpya wa Tume ya Ta...








 Mkurugenzi wa Uchaguzi
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhan (kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa,
Mhe. Jaji Semistocles Kaijage (kulia) kwenye Ofisi za Tume zilizoko Posta jijini Dar es salaam. Mhe. Jaji Semistocles Kaijage ameapishwa leo Ikulu jijini  Dar es salaam kuiongoza Tume hiyo kwa kipindi cha miaka 5.













 Watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakimpokea Mwenyekiti mpya wa Tume hiyo mara
baada ya kuwasili katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Posta, jijini Dar es salaam.
 Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jaji Semistocles Kaijage (kulia) akiwa Ofisini kwake kwa mara ya kwanza mara baada ya kuapishwa leo. Mhe. Jaji Semistocles Kaijage ameteuliwa kuongoza Tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia tarehe 20 Desemba, 2016.













 Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jaji Semistocles Kaijage (kushoto) akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi ofisini kwake.



Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jaji
Semistocles Kaijage akitoa ufafanuzi kwa vyombo vya Habari kuhusu majina 11 yaliyoteuliwa kugombea Ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Dimani Zanzibar
na majina 72 ya wagombea  Udiwani kwenye
Kata 20 za Tanzania Bara. (Picha/Aron Msigwa -NEC)

















COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MWENYEKITI MPYA WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JAJI SEMISTOCLES KAIJAGE AANZA KAZI RASMI
MWENYEKITI MPYA WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JAJI SEMISTOCLES KAIJAGE AANZA KAZI RASMI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZr6ukKzkna4xSDKQ9w92VQt-09ZWvuB35PnHahYa9krAw6X0nTQ64WElr3eDac5HQ7yhEQ4LxITpqXlOxn5X0iU4xdlnaROWPZ4dwTJmDL24FxgGy46rBL0oj3uFpVJqVDTiTYBFH8945/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZr6ukKzkna4xSDKQ9w92VQt-09ZWvuB35PnHahYa9krAw6X0nTQ64WElr3eDac5HQ7yhEQ4LxITpqXlOxn5X0iU4xdlnaROWPZ4dwTJmDL24FxgGy46rBL0oj3uFpVJqVDTiTYBFH8945/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/mwenyekiti-mpya-wa-tume-ya-taifa-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/mwenyekiti-mpya-wa-tume-ya-taifa-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy