WAZIRI MKUU WA ETHIPIA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI TANZANIA
HomeJamii

WAZIRI MKUU WA ETHIPIA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) akiagana na Waziri Mkuu wa Shirikisho la Kidemokrasia la ...

TAARIFA YA SERIKALI KUTOKA BUNGENI LEO 02/02/2017
MAHAKAMA YA TANZANIA KUONGEZA KASI YA USIKILIZAJI WA KESI
VYUO VIKUU VYAAGIZWA KUTOTOZA ADA KWA FEDHA ZA KIGENI KWA WATANZANIA





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) akiagana na Waziri Mkuu wa Shirikisho la Kidemokrasia la Jamhuri ya Ethiopia, Mhe. Hailemariam Dessalegn mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili nchini. Wakati wa ziara hiyo pamoja na mambo mengine alimaliza kwa kutembelea Bandari ya Dar es Salaam na Mhe. Desalegn ameahidi kuitumia Bandari hiyo kupitisha mizigo ya nchi yake pamoja na kufanya biashara na nchi za Afrika Mashariki.Ziara hiyo ilifanyika kuanzia tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili, 2017.





Mhe. Desalegn akiagana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa





Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (Mb) akiagana na Mhe. Desalegn.





Waziri Mkuu, Mhe. Desalegn akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Mhe. Naimi Aziz mara baada ya kumaliza ziara yake hapa nchini





Waziri Mkuu, Mhe. Desalegn akiagana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika, Balozi Innocent Shiyo mara baada ya kumaliza ziara yake hapa nchini



Waziri Mkuu Desalegn akiagana na Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Zulekha Tambwe.




Mhe. Desalegn akimpungia mkono wa kwaheri Rais Magufuli, viongozi mbalimbali wa Serikali na wananchi (hawapo pichani) waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kumuaga mara baada ya kumaliza rasmi ziara yake nchini.





Rais John Pombe Magufuli (wa kwanza kulia), Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda kwa pamoja wakimpungia mkono wa kwaheri kumuaga Mhe. Desalegn,
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU WA ETHIPIA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI TANZANIA
WAZIRI MKUU WA ETHIPIA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI TANZANIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiIpE7bZ1WXXwvIY-oBBjLsobMjcw3JsKi8hMpWR4sfI0bQ_1zNeNQUTYMVqj8QPRyOE1c8Ij700Or-ck93AR5cbdYrkVyF0xMXTO-l_WeyRYww66zO9HGP0M-aNrW4vQ_GUV22_2TQSzQ/s640/719A0523.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiIpE7bZ1WXXwvIY-oBBjLsobMjcw3JsKi8hMpWR4sfI0bQ_1zNeNQUTYMVqj8QPRyOE1c8Ij700Or-ck93AR5cbdYrkVyF0xMXTO-l_WeyRYww66zO9HGP0M-aNrW4vQ_GUV22_2TQSzQ/s72-c/719A0523.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/waziri-mkuu-wa-ethipia-amaliza-ziara.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/waziri-mkuu-wa-ethipia-amaliza-ziara.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy