UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG
HomeJamii

UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na mgeni wake Mwenyekiti wa Kampu...

BODI YA MAZIWA TANZANIA KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KUONGEZA IDADI YA NG'OMBE WA MAZIWA KUFIKIA MILIONI 1.5
DKT. SHEIN AWAONGOZA VIONGOZI MBALIMBALI KATIKA HITMA YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MZEE ABEID KARUME MJINI UNGUJA
TRA INAUNGANA NA WATANZANIA WOTE KATIKA KUMBUKUMBU YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MHE. SHEIKH ABEID AMANI KARUME


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na mgeni wake Mwenyekiti wa Kampuni ya “Engineering Consultants Groups”-ECG, Amr Hassan Allouba yaliyofanyika Ikulu Mjini humo leo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akifuatana na Mwenyekiti wa Kampuni ya “Engineering Consultants Groups”-ECG Bw. Amr Hassan Allouba (katikati) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Kushoto ni Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini, Misri Balozi Mohamed Haji Hamza.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Mwenyekiti wa Kampuni ya “Engineering Consultants Groups”-ECG Bw. Amr Hassan Allouba alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo na ujumbe wake.


Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulyahaya Mzee (kushoto) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali kuhusu Ripoti ya mkaguzi na Mdhibiti wa fedha za Serikali iliyozungumzia upotevu wa fedha katika Mawizara mbali mbali ambazo zimekuwa zikilipwa kwa makosa,katika ukumbi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha na Ikulu)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG
UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/04/A-94.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjsFZCKHPeZqURnqTdzwuF8u1MqVNgd_Gd0GENO2nZjns9mdAvzUkydLmKA5lZYVj1525AfhzouXM8M-23SQWKIyyE9ABke4RP-Pjv4lrPk6Mg6mP2RnurgVUUXtBeZuCLvgrOvjsPpnZk/s72-c/unnamed-29.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/ujumbe-wa-kampuni-ya-engineering.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/ujumbe-wa-kampuni-ya-engineering.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy