Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Nchini Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mhayo akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo...
Mwenyekiti
wa Bodi ya Utalii Nchini Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mhayo
akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu adhma
ya taasisi hiyo kutangaza Utalii wake Nchini Israeli. Pamoja naye ni
Mkurugenzi Mtendaji wa TTB, Devotha Mdachi na Afisa Uhusiano wa Taasisi
hiyo, Augustina Makoye. (Picha na Robert Okanda Blogspot)
Mkurugenzi Mtendaji wa TTB, Devotha Mdachi akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es
Salaam leo, kuhusu adhma ya taasisi hiyo kutangaza Utalii wake Nchini
Israeli. Pamoja naye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Nchini Tanzania (TTB),
Jaji Mstaafu Thomas Mhayo.
Baadhi ya wana habari wakisikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Nchini Tanzania (TTB),
Jaji Mstaafu Thomas Mhayo akiongea nao jijini Dar es
Salaam leo.
Loaded All PostsNot found any postsVIEW ALLReadmoreReplyCancel replyDeleteByHomePAGESPOSTSView AllRECOMMENDED FOR YOULABELARCHIVESEARCHALL POSTSNot found any post match with your requestBack HomeSundayMondayTuesdayWednesdayThursdayFridaySaturdaySunMonTueWedThuFriSatJanuaryFebruaryMarchAprilMayJuneJulyAugustSeptemberOctoberNovemberDecemberJanFebMarAprMayJunJulAugSepOctNovDecjust now1 minute ago$$1$$ minutes ago1 hour ago$$1$$ hours agoYesterday$$1$$ days ago$$1$$ weeks agomore than 5 weeks agoFollowersFollowTHIS CONTENT IS PREMIUMPlease share to unlockCopy All CodeSelect All CodeAll codes were copied to your clipboardCan not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy
COMMENTS