Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akisalimiana na Meneja wa Taasisi Shirikishi za Kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo (kuli...
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akisalimiana na Meneja
wa Taasisi Shirikishi za Kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo (kulia) na Kiongozi wa
Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, Ndg. Kym McCarty,
walipotembelewa leo na ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi Ofisini
kwake Mjini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Ujumbe
kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, pale walipomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma. Katikati ni Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo
Shirikishi, Ndg. Kym McCarty na anaefuata ni Meneja wa Taasisi Shirikishi za
kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo (kulia).
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akimsikiliza Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, Ndg. Kym McCarty (katikati) na anaefuta ni Meneja wa Taasisi Shirikishi za kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo (kulia) walipotembelewa leo na ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi Ofisini kwake Mjini Dodoma.

COMMENTS