SERIKALI IMETEKETEZA VIFARANGA 67500 KWA KUTOFATA SHERIA

Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA Serikali imesema kuwa kuanzia mwaka 2013 hadi 2017 vifaranga 67500 vilivyoingizwa nchini kinyume na sheri...


Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA

Serikali imesema kuwa kuanzia mwaka 2013 hadi 2017 vifaranga 67500 vilivyoingizwa nchini kinyume na sheria viliteketezwa.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri, Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvivu Mhe.William Ole Nasha leo Bungeni Mjini Dodoma wakati wa Maswali na Majibu.

“Wako wawekezaji wachache ambao hupewa vibali maalum vya kuingiza mayai au vifaranga wa kuku wazazi (Parents Stock) tu,ukaguzi kwa ajili ya kudhibiti uingizaji vifaranga na mayai unaendelea na hatua kali zinachukuliwa kwa yeyote anayekamatwa kwa kukiuka utaratibu”, Alisisitiza Mhe.Ole Nasha.

Naibu Waziri, Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvivu Mhe.William Ole Nasha
Amesema kuwa kuanzia mwaka 2006 serikali iliweka katazo la kuingiza kuku na mazao yake nchini ili kudhibiti ugonjwa hatari wa Mafua ya Ndege na hakuna mwekezaji yeyote aliyeruhusiwa kupewa kibali cha kuingiza vifaranga au mayai nchini kwa ajiri ya biashara.

Aidha amesisitiza kuwa Sheria ya Magonjwa ya Wanyama na .17 ya mwaka 2003 na kanuni zake za mwaka 2007 na 2010 zinatumika kudhibiti na kukagua uingizaji katika maeneo ya mpakani,bandarini na viwanja vya ndege.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SERIKALI IMETEKETEZA VIFARANGA 67500 KWA KUTOFATA SHERIA
SERIKALI IMETEKETEZA VIFARANGA 67500 KWA KUTOFATA SHERIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfhTm9VWKRt6DzXC0lXdwmU9fnKSG_r0pd2cPPg6NgLxZWJ25wyfq1lRqcsY98yfgrwQdaNrcptgXQPXlwjAcTfd-DJoQul4FAnYD4WWByT6sUQex-TK6W_xArHUUlyXqluhSEw7yEk1A/s640/unnamed-1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfhTm9VWKRt6DzXC0lXdwmU9fnKSG_r0pd2cPPg6NgLxZWJ25wyfq1lRqcsY98yfgrwQdaNrcptgXQPXlwjAcTfd-DJoQul4FAnYD4WWByT6sUQex-TK6W_xArHUUlyXqluhSEw7yEk1A/s72-c/unnamed-1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/serikali-imeteketeza-vifaranga-67500.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/serikali-imeteketeza-vifaranga-67500.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy