RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI NA KAMISHNA WA TRA IKULU, DAR ES SALAAM
HomeJamii

RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI NA KAMISHNA WA TRA IKULU, DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Leonard Akwilapo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya e...

MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA
TUIMARISHE USAWA WA KIJINSIA NA KUWEZESHA WANAWAKE VIJIJINI-DC MCHEMBE
TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA ITB BERLIN 2018 NCHINI UJERUMANI



RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI NA KAMISHNA WA TRA IKULU, DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Leonard Akwilapo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es Salaam leo April 5, 2017.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisiani hati ya kiapo cha Dkt. Leonard Akwilapo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi Dkt. Leonard Akwilapo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Kitila Alexander Mkumbo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisiani hati ya kiapo cha Profesa Kitila Alexander Mkumbo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Profesa Kitila Alexander Mkumbo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es Salaam leo April 5, 2017.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Ave Maria Semakafu Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es Salaam leo April 5, 2017. 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo cha Dkt. Ave Maria Semakafu Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Dkt. Ave Maria Semakafu Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyuke kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es Salaam leo April 5, 2017. 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisiani hati ya kiapo cha Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyuke kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es Salaam leo April 5, 2017.
 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyuke kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es Salaam leo April 5, 2017.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Baraka Luvanda kuwa Balozi wa Tanzania nchini India Ikulu jijini Dar es Salaam leo April 5, 2017 -Rais akimkabidhi nyezo za kazi. 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Bw. Baraka Luvanda kuwa Balozi wa Tanzania nchini India Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017 -Rais akimkabidhi nyezo za kazi.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017. 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Bw. Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
 
Waapishwa wakila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na waapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017. (PICHA NA IKULU)


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI NA KAMISHNA WA TRA IKULU, DAR ES SALAAM
RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI NA KAMISHNA WA TRA IKULU, DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjya8IU9bw3SM-5aXQKHojJCOp6fzjnTAHud3wRIQdQciErgpiEO-RKlZsraXzt5l9v5IKkA-6Dvqtc6JyI84P4gGdcaMa_fygwzA7Ry15McMFJoq7i0K0zdDKXdWJEBsggK45XdJ4FZKpI/s640/k1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjya8IU9bw3SM-5aXQKHojJCOp6fzjnTAHud3wRIQdQciErgpiEO-RKlZsraXzt5l9v5IKkA-6Dvqtc6JyI84P4gGdcaMa_fygwzA7Ry15McMFJoq7i0K0zdDKXdWJEBsggK45XdJ4FZKpI/s72-c/k1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/rais-dkt-magufuli-aapisha-makatibu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/rais-dkt-magufuli-aapisha-makatibu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy