Rais Dkt John Pombe Magufuli amejiunga na waumini kwenye ibada ya Jumapili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosi...
Rais
Dkt John Pombe Magufuli amejiunga na waumini kwenye ibada ya Jumapili
katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini
Usharika wa Moshi Mjini asubuhi hii. Rais Magufuli yuko mkoani
Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
COMMENTS