Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wa Ubungo, (CHADEMA), Mhe. Saed Kubenea kwenye viwanja vya bunge mjini Dod...
![]() |
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wa Ubungo, (CHADEMA), Mhe. Saed Kubenea
kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma leo Aprili 27, 2017. (PICHA NA OFISI YA
WAZIRI MKUU)
|
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) wakifurahia kuona medali ya dhahabu aliyoivaa
Mwanaridha Alphonce Simbu ambayo aliinyakuwa katika mashindano ya
Mumbai Marathon nchini India na tuzo aliyoipata hivi karibuni baada ya
kushika nafasi ya tano katika mashindano ya London Marathon. Waziri Mkuu
alikutana na mwanariaha huyo kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 27,
2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mshindi
wa Medali ya Dhahabu katika mbio za Mumbai za mwaka 2017 Alphonce Felix Simbu
akiwaonyesha Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hawapo
pichani) medali na Tuzo aliyoshinda
katika mbio hizo leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akipokea Tuzo kutoka kwa Mshindi wa Medali ya Dhahabu
katika mbio za Mumbai za mwaka 2017 Bw. Alphonce Felix Simbu katika viwanja vya
Bunge leo Mjini Dodoma.Wengine pichani ni Mkuu wa Utawala na Mafunzo JKT
Col.K.J.Mziray,Luteni Col.J.P Meidini,Mkuu wa Kambi JKT Makuyuni Meja Mvula na
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano Multichoice Tanzania, John Mshana
Waziri
wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe akipokea Tuzo
kutoka kwa Mshindi wa Medali ya Dhahabu katika mbio za Mumbai za mwaka 2017 Bw.
Alphonce Felix Simbu katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma.Wengine pichani
ni Mkuu wa Utawala na Mafunzo JKT Kanali K.J.Mziray, Luteni Kanali.J.P Meidini, Mkuu wa
Kambi JKT Makuyuni Meja Mvula na Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano Multichoice
Tanzania, John Mshana.
(Picha na Daudi Manongi- MAELEZO)
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera
Bunge Ajira Kazi na watu wenye Ulemavu
Mhe. Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha kumi na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 27,
2017.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha kumi na tatu cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamadi Masauni akijibu maswali mbalimbali
ya wabunge katika katika kikao cha kumi
na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017.
Naibu
Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Nyonyani akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika katika
kikao cha kumi na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 27, 2017.
![]() |
Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali (CHADEMA) akiuliza swali katika kikao cha kumi na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017. |
![]() |
Mbunge
wa Viti Maalum (CCM) Mhe. Rita Kabati akiuliza swali katika kikao cha kumi na tatu cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017.
|
COMMENTS