KIKWETE AVUNJA REKODI YA KUSHANGILIWA BUNGENI

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na tabasam maridhawa wakati wa utambulisho huo Bungeni leo. Kushoto ni mwanaye Khalfan Kikwete. ...



Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na tabasam maridhawa wakati wa utambulisho huo Bungeni leo. Kushoto ni mwanaye Khalfan Kikwete.

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na tabasam maridhawa wakati wa utambulisho huo Bungeni leo.


Wabunge wakimshangilia na kupiga makofi kama ishara ya kumkubali na kumkumbuka alipotambulishwa Bungeni leo.

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliposimama wakati wa utambulisho huo Bungeni leo.

VIFIJO, vigelegele na nderemo na vifidjo vimetawala Bungeni baada ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kutambulishwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai.


Kikwete ambaye alimsindikiza mkewe, alitambulishwa mara baada ya mkewe Salma Kikwete kuapishwa kuwa Mbunge wa Kuteuliwa.

Baadhi ya wabunge walisikika wakisema "tumekumiss tumekumiss" huku wengine wakisema apewe awamu nyingine ya kuongoza.


Wengine walitaka Kikwete aruhusiwe  kuwahutubia jambo ambalo lilishindikana kwa wakati huo kutokana na sababu za kikanuni, ambapo kabla ya kuruhusiwa kuhutubiwa ilitakiwa kanuni zitenguliwe kwanza.


Spika Ndugai alijaribu kuwatuliza wabunge lakini ilishindikana waliendelea kushangilia huku wakiimba wimbo mpya wa Nay wa Mitego wa 'Wapo'.


Spika Ndugai alichagiza kwa kusema, katika historia ya Bunge haijawahi tokea mgeni akashangiliwa kama ilivyotokea kwa Rais mstaafu, Jakaya Kikwete na kwamba hii imevunja rekodi.


Baada ya muda Spika aliwasihi wabunge kunyamaza ili shughuli za bunge ziendelee.

Kikwete akiwa na wasaidizi wake pamoja na mwanawe Ali waliondoka kupisha shughuli za Bunge ziendelee kwani angeendelea kuwemo bungeni utulivu ungeendelea kutoweka. (HABARI NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KIKWETE AVUNJA REKODI YA KUSHANGILIWA BUNGENI
KIKWETE AVUNJA REKODI YA KUSHANGILIWA BUNGENI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfmvrqZDdukLcnGbcgFYXmqtXTkk0RX6y84-XFKSgGZDMeKayUcB1nng1lnb-butmwRcXObzOzaTTJ5AjwCJsJTYQRSWRQlvVJt59dTN4P0C64MUSNByy3nlazNTaf77mi9usyNFDcYAY/s640/HAPY.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfmvrqZDdukLcnGbcgFYXmqtXTkk0RX6y84-XFKSgGZDMeKayUcB1nng1lnb-butmwRcXObzOzaTTJ5AjwCJsJTYQRSWRQlvVJt59dTN4P0C64MUSNByy3nlazNTaf77mi9usyNFDcYAY/s72-c/HAPY.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/kikwete-avunja-rekodi-ya-kushangiliwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/kikwete-avunja-rekodi-ya-kushangiliwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy