ASASI YA KIJAMII YA TREE OF HOPE YAWAPIGA MSASA VIONGOZI WA DINI

  Na Mwandishi Wetu JAMII imetakiwa kupiga vita vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto na wazee ikiwa na pamoja na viongozi wa ...



  Na Mwandishi Wetu
JAMII imetakiwa kupiga vita vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto na wazee ikiwa na pamoja na viongozi wa dini kuzitumia nafasi zao kukomesha ukatili huo.
 
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Tree of Hope, Fortunata Manyeresa alipofungua mkutano wa wadau uliowashirikisha viongozi wa dini na wadau mbalimbali kutoka Wilaya ya Pangani, Lushoto, Handeni na Tanga mjini kupitia mradi wa GBV, alisema viongozi wa dini wanayo nafasi kubwa ya kutokomeza ukatili wa kijinsia maeneo yao.
 
Alisema vitendo vya ukatili vya kijinsia  vimekuwa vikishamiri kila siku hivyo kuwataka viongozi wa dini kutumia nafasi zao katika jamii kukemea na kuhakikisha vitendo hivyo vinakomeshwa.
“Jambo la kufurahisha hapa leo tupo na viongozi wa dini tofauti pamoja na wanaharakati, tutumie nafasi zetu kwa kukemea vitendo vya ukatili” alisema Manyeresa na kuongeza
“Bado ukatili wa kijinsia kwa watoto na wazee unaendelea hili ni jambo la kuhuzunisha na linatakikana kupingwa kwa nguvu zote kwa kushirikiana na Serikali” alisema
Afisa mradi Tree of Hope, Goodluck Malilo, aliwataka wanaharakati kutoka Wilayani kuwa mabalozi wa kupambana na vitendo vya ukatili watoto na wazee.
Alisema kwa kupaza sauti moja vitendo hivyo vinaweza kutokomezwa hivyo kuwataka baada ya kupata maelekezo na mbinu kuhakikisha wanawafikisha katika vyombo vya sheria wote wanaojihusisha na ukatili wa kijinsia.
Kwa upande wake Mwanaharakati kutoka Wilayani Mkinga, Fidea Mtambo alisema vijijini kuna changamoto kubwa ya kupambana na vitendo vya kikatili hivyo kuitaka Asasi hiyo kuendeleza mapambana yake kijiji kwa kijiji.
Nae Ustadhi, Ustadhi Abdalla Mbena kutoka kata ya Donge Tanga mjini, alisema kuna baadhi ya watu wanaofanyiwa ukatili wa kijinsia wamekuwa waoga kutoa taarifa kwa vyombo vya dola.
Alisema ili kuweza kutokomeza ni wajibu wa kila mmoja kuwa balozi wa kupinga vitendo vya ukatili vya kijinsia katika eneo lake.
blog ya kijamii ya tangakumekuchablog, 0655 902929
                                    




COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ASASI YA KIJAMII YA TREE OF HOPE YAWAPIGA MSASA VIONGOZI WA DINI
ASASI YA KIJAMII YA TREE OF HOPE YAWAPIGA MSASA VIONGOZI WA DINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0nsGA_pT_SH9YuxIsznptf2rieCZ17FCUpbfAyETRUkzQZe-1ghGhq3rB03Zg2vefR8nDzU-byUn5IK8Lcng6prlYocm6JsnYgUmc8OwmnY_HvWKhFrLp8JmWEozbJ30Ryg5jWcCVUYxv/s640/DSCN7910.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0nsGA_pT_SH9YuxIsznptf2rieCZ17FCUpbfAyETRUkzQZe-1ghGhq3rB03Zg2vefR8nDzU-byUn5IK8Lcng6prlYocm6JsnYgUmc8OwmnY_HvWKhFrLp8JmWEozbJ30Ryg5jWcCVUYxv/s72-c/DSCN7910.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/asasi-ya-kijamii-ya-tree-of-hope.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/asasi-ya-kijamii-ya-tree-of-hope.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy